johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😀😀Kwenye mahindi anaupiga mwingi , kwenye Michele🙃😄 amefeli?!?!?
Kabisa. Sisi itikadi yetu ni kulalamika tu. Tukipewa kosa, tukinyimwa matatizo.Wabongo tuna tabu sana. Maana hata hatujui tunataka nini hasa...
Mchele ukipanda bei tunalalamika, na ukishuka bei tunalalamika...
Hatuna jema kabisa yani!Wabongo tuna tabu sana. Maana hata hatujui tunataka nini hasa...
Mchele ukipanda bei tunalalamika, na ukishuka bei tunalalamika...
Huu ni mtihaniBashe hatoi vibali vya biashara,kundi la matapeli ndio wamefanya hivyo..
Wakulima walivyo wajinga ndio wapiga kura na Bado watachagua wabunge wale wale wajinga kama kina Ashatu Kijaji
Wabongo tuna tabu sana. Maana hata hatujui tunataka nini hasa...
Mchele ukipanda bei tunalalamika, na ukishuka bei tunalalamika...
Tatizo siyo mtoa mada bali akili yake imeshindwa kuchambua hadha ya kufichwa chakula, ugumu wa kupata mlo na wepesi wa kupata mlo.Mkuu
Mbona Umekigeuka Chama Sasa Hivi, Unapingana Na Ilani Iliyosema Kilogram Iwe Tshs 10000/=
Wewe ndio huelewiTatizo siyo mtoa mada bali akili yake imeshindwa kuchambua hadha ya kufichwa chakula, ugumu wa kupata mlo na wepesi wa kupata mlo.
Huyo huyo anaanzisha uzi 'mchele shs 3800kg bashe hafai' leo anaanzisha uzi 'Bashe anaangamiza mkulima' yaani ni hajui au anajifanya kusimama kati asionekane mpinzani.
Anang'ata na kupuliza!.
Wewe unaelewa maana ya Usalama wa Chakula?Wewe Mzee Mgaya ni bure kabisa! Unaelewa maana ya soko huria?
Watawauzia walanguzi nao watauza nje Kama wanavyofanya sasaNinavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora
Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea
Bashe ajipime kama anatosha!
Unatakiwa ujue wanaolalamika mchele ukipanda ni akina Nani, na ukishuka wanaolalamika NI akina nani.Wabongo tuna tabu sana. Maana hata hatujui tunataka nini hasa...
Mchele ukipanda bei tunalalamika, na ukishuka bei tunalalamika...
PweintiUnatakiwa ujue wanaolalamika mchele ukipanda ni akina Nani, na ukishuka wanaolalamika NI akina nani.
Wakati mliporuhusu kuuza mazao ya chakula nje ya nchi, mlizingatia huo usalama wenu wa chakula?Wewe unaelewa maana ya Usalama wa Chakula?
Ndio umuulize Bashe!Wakati mliporuhusu kuuza mazao ya chakula nje ya nchi, mlizingatia huo usalama wenu wa chakula?