SaSa hv mwendo ni kuoa mabinti wenye degree tu

SaSa hv mwendo ni kuoa mabinti wenye degree tu

GREAT VISIONAIRE

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
365
Reaction score
452
Kwa maana kila binti anayetoka chuo nikimuaproach ana wake,nami nimeamua kutafuta binti mwenye digrii ndio naoa
 
Hongera kwa kupata degree ila sijui ni ya nini na ni ya wapi?
 
Naona kama vile MKURABITI,MKUKUTA ulivyo wakati ukweli umasikini uko palepale. Usitafute mwenye digrii ili upate unafuu wa maisha.
 
mie nawapenda sana maana wanajidai i got masters kumbe anapanua tuu alaffu wasepa zako hahahahaha
 
Kwa maana kila binti anayetoka chuo nikimuaproach ana wake,nami nimeamua kutafuta binti mwenye digrii ndio naoa

Sasa kama kila graduate unaemuona ana mtu si ina maana kila utakaemfuata bado atakuwa na wake ndugu yetu?
 
Degree zenyewe za "nguo za ndani"
Unaweza kuta umeingia chaka moja kubwa mkuu
Mfano "wanawake na maendeleo"
 
Basi sitakuweza lol
mimi na date wa 'english course only'...lol

Unaogopa haya ma degree matatu?? Mmmh... Ina maana uki date na wenye degree tatu huwa haipiti??
 
Naogopa kupewa 'lecture' kitandani lol

Hahaaaaa......... Havina uhusiano banaaa! Kitandani nakuwa kama sijasoma hata chekechea..! Ile ni habari nyingine kabisaaaaaa usiogope!!
 
Hahaaaaa......... Havina uhusiano banaaa! Kitandani nakuwa kama sijasoma hata chekechea..! Ile ni habari nyingine kabisaaaaaa usiogope!!

Halafu wa degree tatu na wa 'mujini' naona ndo wataendana..au we waonaje?lol
 
Kwa maana kila binti anayetoka chuo nikimuaproach ana wake,nami nimeamua kutafuta binti mwenye digrii ndio naoa
Mkuu hizo ni mbwembwe na mashauzi tu, ki ukweli huku mtaani soko la mabinti waliosoma liko chini sana, ndio maana ni rahisi sana kwa wao ''Kujilipua''

Wanaume wengi hawawapendi hawa mabinti kwa sababu kuu ni kuwa hawako Realistic na pia wako very complicated.
 
Back
Top Bottom