SaSa hv mwendo ni kuoa mabinti wenye degree tu

SaSa hv mwendo ni kuoa mabinti wenye degree tu

Hahaaaaa......... Havina uhusiano banaaa! Kitandani nakuwa kama sijasoma hata chekechea..! Ile ni habari nyingine kabisaaaaaa usiogope!!

Usimpe moyo The Boss maana yeye kitandani ataona poa tu kama vile yupo na yule wa english course, tatizo anaogopa life after kitandani hususani katika mazungumzo, wakati wewe unazungumza nilipokuwa University of michigan nachukua degree ya tatu ulikuwa unajipenda, yeye atajiona anapwaya itabidi nae azungumze alipokuwa Changanyikeni jirani na UDSM alikuwa anaongea sana na wanafunzi (ili angalau na yeye aonyeshe amekaajirani na watu wa taasisi muhimu)
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah! Shosti we ni nyoko..,salute kwako!!!:-:-D
Mmmmmmmmmmmmmh!!!!!!!!!!! Mi natafuta mwenye MBESA hata akiwa darasa la saba!!!!!!!! Degree ukiipeleka dukani kwani inanunua bidhaaaaaa? I didnt think soo!!!!!!!!! Mambo yote wallet iliyotuna mmiliki akiwa elimu ya UPE!!!!!!!!!!!
 
itabidi tu nikutaftie manake mi huyu mtu huwa namtaftiaga kweli timu pinzani :fencing:kama hivi wanamserve him ryt huwa naona hewaaaaaaa!marhabaaaaaaa!ahahahahhahhaahha THE COMMUNIST himself!
Shikamoo The Boss

Hahahaa leo niko mikononi mwa 'phd holder' leo
kazi ipo lol
 
utaoa wa degree kwa kuiga ama kwa malengo yako? tatizo sio degree bali anajiheshimu,anajali,anajitambua na kuthamini ?
 
Usimpe moyo The Boss maana yeye kitandani ataona poa tu kama vile yupo na yule wa english course, tatizo anaogopa life after kitandani hususani katika mazungumzo, wakati wewe unazungumza nilipokuwa University of michigan nachukua degree ya tatu ulikuwa unajipenda, yeye atajiona anapwaya itabidi nae azungumze alipokuwa Changanyikeni jirani na UDSM alikuwa anaongea sana na wanafunzi (ili angalau na yeye aonyeshe amekaajirani na watu wa taasisi muhimu)

Hehehee we mbona umeniua hivyo? lol
 
pamoja na madegree ma3 cha ajabu wanaishia mikononi mwa masela wa maskani ...degree bongo?

mi namjua dada mmoja anafanya Phd anagongwa na dreva taxip yani uwa simuelewi mdada uyo
 
mambo ya kungonoka ki-degree degree,....honeeey research title .....please ongeza speeed,yaah yaah coursework imekubali,yap eeh eeeeh research uuuuuh proposal mmh!

Yaani weeeeeee ni kiboko..! Umeniacha hoi mpaka baaaaasi..!
 
'wa mujini' huwa hatuogopi kitu
samali hata awe mkubwa vipi tunauliza bei lol

Sawa sawa ulikuwa unataka kunitisha maana mie kukuaminia sana wewe kaka wa Mujini hapana kushindwa kitu!! Lol
 
Hapa hashindwi mtu..! Na ukizingatia nilivyo fall kwa hiyo avatar ya mkaka wa mujini!! Lol

ha ha haa nikuonye tu sura yangu ya ukweli
iko kati kati ya dr remmy ongala na bi kidude
usikimbie ukipiga mayowe tu lol
 
Back
Top Bottom