babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Kila kona ya nchi na Afrika kiujumla habari ni kuhusu Yanga na mamelodi. Mara utasikia unamjua Zwane? Unamjua Peter Shalulile? Mara utasikia Mokoena atawafanya mbaya, mara hujakaa sawa utaskia Alende atawachafua, mara Mudau atawaua, yaani kiufupi ni tafrani tupu...
Sasa nikiwa kwa mwana Yanga mwandamizi humu JF naomba hiyo Jumamosi ifike mechi ipigwe matokeo yajulikane basi ili hizi tambo ziishe maana tumechoshwa na hizi kelele.
Sasa nikiwa kwa mwana Yanga mwandamizi humu JF naomba hiyo Jumamosi ifike mechi ipigwe matokeo yajulikane basi ili hizi tambo ziishe maana tumechoshwa na hizi kelele.