Sasa imetosha, Jumamosi ifike tu ili hizi kelele zipungue

Sasa imetosha, Jumamosi ifike tu ili hizi kelele zipungue

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Kila kona ya nchi na Afrika kiujumla habari ni kuhusu Yanga na mamelodi. Mara utasikia unamjua Zwane? Unamjua Peter Shalulile? Mara utasikia Mokoena atawafanya mbaya, mara hujakaa sawa utaskia Alende atawachafua, mara Mudau atawaua, yaani kiufupi ni tafrani tupu...

Sasa nikiwa kwa mwana Yanga mwandamizi humu JF naomba hiyo Jumamosi ifike mechi ipigwe matokeo yajulikane basi ili hizi tambo ziishe maana tumechoshwa na hizi kelele.

images.jpeg
 
Kelele zitaendelea maana baada ya mechi tuta print mabango mengine ya 5g za mamelodi[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom