Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Kama ulikua unapenda kufanya activation ya Windows Kwa njia ya Offline ๐Ÿซต, sasa itakua haiwezekani tena.



Lazima kila mtu awe na akaunti ya Microsoft (Microsoft account now is mandatory),



Ambapo Kampuni ya Microsoft imeua mfumo wa watu kutumia njia ya local (bila kuwa na akaunti ya Microsoft) kufanya activation ya Windows.

Mfumo huo unafanya kazi Kwa watumiaji wa Windows 11 ulimwenguni kote Kuanzia sasa hivyo kila mtumiaji wa Windows Os hatalazimika kutumia mfumo wa Online

Mfumo huo wa (clouds connected service) badala ya kutumia mfumo wa (standalone products) kufanya activation..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ