Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Iko hivyo tangu miaka ya 1960.Maana hao wazaramo na wandengereko halisi walishahama maeneo ya mijini wameenda maeneo ya ndanindani huko hasa maeneo ya mkoa wa pwani.
Jiji limebaki kukaliwa na mchanganyiko wa watu kutoka kona zote za nchi.
Sasa Jiji linapendezeshwa na akina nshomile akina mapikipiki na malori akina mushi na wengineo.
Nawasilisha wakuu dar sasa ni freetown, sio tena ya mtu awaye yote, awe mzaramo wala mndengereko
šµš¼šµš¼š·š·
kwa sasa haiwezekani maana wametema bungo wamelikimbia jiji watupisha wenyeweBado Haiondoi uhalisia na ukweli hao ndiyo wenyeji!.
Tanzania yote ni ya Watanzania, ndiyo maana Wasukuma na Wachagga wamejaa kila kona.Maana hao wazaramo na wandengereko halisi walishahama maeneo ya mijini wameenda maeneo ya ndanindani huko hasa maeneo ya mkoa wa pwani.
Jiji limebaki kukaliwa na mchanganyiko wa watu kutoka kona zote za nchi.
Sasa Jiji linapendezeshwa na akina nshomile akina mapikipiki na malori akina mushi na wengineo.
Nawasilisha wakuu dar sasa ni freetown, sio tena ya mtu awaye yote, awe mzaramo wala mndengereko
šµš¼šµš¼š·š·
Kwa kukaa kwako dar ndo ushawaona wenyeji hawana maana, wamewakaribisha vizuri wapeni heshima yao. Wazaramo wako poa sana, hawana ukabila. Hata iweje bado wataendelea kuwa wenyeji wako kilongola kilongola tuMaana hao wazaramo na wandengereko halisi walishahama maeneo ya mijini wameenda maeneo ya ndanindani huko hasa maeneo ya mkoa wa pwani.
Jiji limebaki kukaliwa na mchanganyiko wa watu kutoka kona zote za nchi.
Sasa Jiji linapendezeshwa na akina nshomile akina mapikipiki na malori akina mushi na wengineo.
Nawasilisha wakuu dar sasa ni freetown, sio tena ya mtu awaye yote, awe mzaramo wala mndengereko
šµš¼šµš¼š·š·
Huyo ni limbukeni kwanza nani alimwambia Wazaramo hawapo mjini au alienda anahoji kila mtu kabila lake?Kwa kukaa kwako dar ndo ushawaona wenyeji hawana maana, wamewakaribisha vizuri wapeni heshima yao. Wazaramo wako poa sana, hawana ukabila. Hata iweje bado wataendelea kuwa wenyeji wako kilongola kilongola tu
Nshomile ndo hawafai kabisa. Walikataa kuniuzia nyama kisa sijui kinshomile. Quote " ukiniletea bishwaili byako hapa sikuuzi nyama" EOQ. Nikaondoka zangu nikaenda sokoni kununua " emboju".Huyo ni limbukeni kwanza nani alimwambia Wazaramo hawapo mjini au alienda anahoji kila mtu kabila lake?
Mji wowote Mkubwa lazima uwe na mwingiliano ndo maana kwao huko Bukoba na Moshi miji imedumaa kwa ukabila na ujinga ujinga mwingi maana mgeni anaonekana adui yao mkubwa!
Haeleweki, kama mula zilongaKulonga choni
Anaona wivu wazaramo na wandengereko kuwa watu wa darIkitangazwa itakusaidia nini katika maisha yako