Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Maana hao wazaramo na wandengereko halisi walishahama maeneo ya mijini wameenda maeneo ya ndanindani huko hasa maeneo ya mkoa wa pwani.
Jiji limebaki kukaliwa na mchanganyiko wa watu kutoka kona zote za nchi.
Sasa Jiji linapendezeshwa na akina nshomile akina mapikipiki na malori akina mushi na wengineo.
Nawasilisha wakuu dar sasa ni freetown, sio tena ya mtu awaye yote, awe mzaramo wala mndengereko
🎵🎼🎵🎼🎷🎷