Sasa kina Mama wamehama upande wa Kubeti, siyo Vikoba tu

Sasa kina Mama wamehama upande wa Kubeti, siyo Vikoba tu

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,677
Reaction score
3,174
SIO VIKOBA TUU

Wakuu,
Mambo yanaendelea kuchangamka ni hatari, hii ndiyo ile hamsini kwa hamsini hakuna kuacha gap, nilijua ni kwenye Vikoba tu kumbe ni muendelezo wa kukaba maisha yaendelee
Mtaani hakuna kupoa

 
Back
Top Bottom