Sasa Kupekua Kwingi kutakwisha!

Sasa Kupekua Kwingi kutakwisha!

Tebajanga

Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
74
Reaction score
106
Kwa kawaida tumezoea kutafuta anwani za shule, vyuo na vitu vinginevyo vya muhimu kwa mda mrefu, na unaweza hata ukakosa habari husika uitakayo!
Ila kutumia TanzaniaKwetu utapata habari na link za shule, vyuo na vitu vinginevyo vya muhimu kwa haraka zaidi ambavyo vipo nchini mwetu na unaweza ukawasiliana nao kwa urahisi!
 
nzuri, lakini hebu wai update kwanza basi iwe na data za kutosha......natafuta shule ya kumpleka mtoto Dar es salaam naona kuna shule nane tu!!
 
Back
Top Bottom