figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Sasa LATRA wamekunjua Makucha. Tuliwaonya Madereva hawakusikia SOMA HAPA.
Sasa kila Dereva anayekamatwa analialia kusamehewa eti hakuwa na taarifa.. Hadi wengine wanajifanya kutoa Rushwa. Nani alimwambia LATRA wanapokea Rushwa?
Nawaonya tena, wale Madereva wanajifanya kutoa chai pale wanapokamatwa, kuweni makini, sasa LATRA wana Mkakati wa kutembea kwenye operesheni zao wakiwa wa Watu wa TAKUKURU..
Msiseme sijawaambia..