figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Wewe una haki gani kwenye hii Nchi? Hutaki vitisho pambania katiba mpya.Napendezwa na elimu kuliko vitisho. Hii nguvu inayotumika huku ingetumika kwa mafisadi, taifa letu lingesonga mbele. Kila mtu angekua morali ya kulipa kodi kwa hiari
Nakazia TRA wananunulika sembuse hao kajamba nani..?na kila mtu ana price tag yake
Katiba ya zamani siifahamu unataka nipambanie mpya. Ndio maana nimesema naprefer elimu badala ya vitisho.Wewe una haki gani kwenye hii Nchi? Hutaki vitisho pambania katiba mpya.