PostGE2025 Sasa lawama zote ni kwa kanisa, badala ya mifumo iliyojaa rushwa na uzembe

PostGE2025 Sasa lawama zote ni kwa kanisa, badala ya mifumo iliyojaa rushwa na uzembe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Katiba mpya ndiyo maridhiano ya kweli na haki yatakayopoza vidonda na kuzuia balaa lingine lisito​
  • Katiba mbona ipo kwenye Ilani ya Chama na mama Samia kipenzi cha watanzania alishasema mara nyingi kuwa muhula wake wa pili atatuachia zawadi ya katiba mpya?​
 
Ulikuwepo hata kwenye ilan ilopita lkn haikutekelezeka
 
Kwamba Kanisa ndio linawatoa watu majumbani mwao na kuwaambie waende wakaandamane kudai haki zao?

Hii serikali ya wavaa kobazi wa kizanzibar ni ya kipumbavu mno kuwahi kutokea, wanafanya mpaka tuonekane watanzania wote ni vilaza.
 
Wanatuona wapumbavu.

Hao wazungu wanachukua Raslimali zetu day and night bila bunduki, leo hii ndo wachochee machafuko?

DP world kachukua bandari, bila bunduki anahaja gani ya kuchochea machafuko?
 
Chanzo cha matatizo yote ndani ya hii nchi ni ccm! Asitafutwe mtu/taasisi yoyote ile ya kuiangushia gunia la lawama.
 
Back
Top Bottom