Sasa mambo shwari

Sasa mambo shwari

mwanzo wetu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
1,581
Reaction score
462
Habari wanajukwaa, poleni na heka heka za kusaka shekeli.

Ndugu zangu na wanafamilia katika jukwaa hili nipende kuwashukuru Wote mlionitia moyo kufuatia changamoto ya Fangasi waliokuwa wananisumbua, Kuna ambao mlinifuata inbox kunipa ushauri mbalikiwe sana, na wengine waliniambia dawa mbali mbali Ili nitumie japo hazikuzaa matunda.

Mungu siyo asumani nimekutana na Mzee Mmoja Kigoma licha ni garama ila kanipa dawa ambayo nilipata kuizalau sana Kwa macho nililipia fedha kishingo upande ukizingatia nimetumia fedha kibao Kwa watalamu ila ni Kawa siponi.

Nimeamini ya kale hayanuki, na ya kale ni dhahabu, Dawa hii nimeitumia siku Tano pekee huwezi amini ni kufuta fangasi, na wekundu umekata Ingawa kati ya dawa nyingine moja inawasha ni kama mateso licha kuwa ni Kwa mda mfupi.

Sasa chuma kimesimama bala bala mpaka Sasa sijaamini maana fangas zinatia stress mpaka basi.

Mbarikiwe Kwa maombi yenu Ukute yamechangia kukutana na mtu sahihi.
 
Back
Top Bottom