GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez.
Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20 Billion upo na uliuweka Simba SC ndiyo tushindwe kweli kutoa Tsh Milioni 800 kwa Victor Adebayor, Tsh Milioni 550 kwa Stephane Aziz K na Tsh Milioni 450 kwa Ceaser Lobi Manzoki?
Sikupangii Matumizi ya Pesa ( Fedha ) zako za Utajiri wa Kurithi kutoka kwa Baba yako Mzazi Mzee Ghullum ila kama kweli hivi sasa umeamua Kugeukia Kupromoti Ndondi ( Ngumi ) kwanini usingeanza na walioonyesha nia wakiwa Zanzibar Bondia Okra Magic ( Ghana ) na Bondia Dejan Mzungu ( Serbia ) halafu Bondia Wafula Chebukati na Bondia Raila Odinga kisha Utupromoti Mabondia GENTAMYCINE ( Rwanda ) na Bila bila ( Tanzania ) ila umechagua Kuanza na Wengine tu?
Mo Dewji unatuzingua hatukuelewi.