Kipindi hiki ufaulu utapanda! Na waliomark mitihani ya form four mwaka jana wamelaumiwa na kupewa onyo kali kutikana na taswira iliyoipata jamii,nchi hii siasa inafanyika kwenye mambo yaa msingi na sisi tuliewaajiri hilo baraza la mawaziri hatuchukui hatua na ndo maana wanatuburuza tu!!