Sasa na form 6 itakuaje

Sasa na form 6 itakuaje

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Baada ya matokeo ya kidato cha nne kupangwa upya waliomaliza f6 wameachwa matatani kwa kua hawajui sasa itakuaje matokeo yao kwasababu Necta wanbidi wa pige kazi even 24 hrs kutoa hayo matokeo mapya ya f4.
 
sasa umefika wakati wa kufuta mitihani ya darasa la saba na pia ya vidato vya nne na sita kama ilivyofutwa ya darasa la nne na ya kidato cha pili!
Ndiyo, ni kwa nini ifutwe?
Ifutwe kwa sababu matokeo ya mitihani yanatengenezwa nje ya vyumba vya mitihani!

 
Kipindi hiki ufaulu utapanda! Na waliomark mitihani ya form four mwaka jana wamelaumiwa na kupewa onyo kali kutikana na taswira iliyoipata jamii,nchi hii siasa inafanyika kwenye mambo yaa msingi na sisi tuliewaajiri hilo baraza la mawaziri hatuchukui hatua na ndo maana wanatuburuza tu!!
 
Back
Top Bottom