Elections 2015 Sasa naanza kupata picha kwamba Apson Mwang'onda yupo kwa Lowassa kikazi zaidi...

Mi naona kila siku watu wanatafuna maneno yao wenyewe lakini Laigwanan anachanja mbuga. Kwa vile sehemu kubwa ya NEC ya CCM ilikuwa Arusha jana sioni uwezekano wa kutopitishwa kwa kuwa wanaCCM ni watu wa kuangalia upepo wa mafanikio ulipo na wanaenda huko. Kwa jeuri ya fedha aliyonayo EL na desturi ya CCM ilivyo, EL is now unstoppable. Only UKAWA to stop him
 
eleza alikuwa vip undercover....maelezo yako hayaelewek..unakurupuka
 
Msimpe sifa Apson, ni mtu wa kawaida na mjinga kabisa, hakuna chochote cha maana anaweza kufanya cha kijasusi kwa sasa, yupo kwa Lowassa kwa makusudi ya kimaslahi, analipwa na Lowassa na anajua atafaidi zaidi kama Lowassa atakuwa rais.
 
Its over!

Hakuna fisadi atakanyaga nyumba yetu takatifu.... Tanzania njema kuzaliwa ni lazima, its a decree...
 

Tazama CC inayopitisha majina halafu utajua kama huyu bwana kapita au laa..,like it or not, wafanya maamuzi halisi CCM walijua hii siku itafika wakajizatiti.

huu mtifuano bado mmbichi sana. at the end of the day,this is very good news for UKAWA.
 

Pole the game is over!
 
Tazama CC inayopitisha majina halafu utajua kama huyu bwana kapita au laa..,like it or not, wafanya maamuzi halisi CCM walijua hii siku itafika wakajizatiti.

huu mtifuano bado mmbichi sana. at the end of the day,this is very good news for UKAWA.

Kitu kimoja ambacho watu hawajui, au wanapotosha kwa makusudi ni nguvu ya NEC. NEC ndio inayochagua mwenyekiti, NEC inaweza kusema hatuna imani na mwenyekiti na atang`oka. Wataenda na mkwara huo kwa vile EL ashawapata tayari, kauli mbiu itakuwa kata jina la Lowassa tukuvue uenyekiti.
 

Naona mnaanza kuleta option D na C, mshajua option A na B ni ndoto.

hakuna mtu wa kumtoa JK kwenye uenyekiti wa CCM pale, msitegemee kina Pinda, Membe,mwakyembe, Sitta, Makongoro na CCM heavyweight wengine wakamtazama tu Lowasa.

Lowassa may be rich, but in terms of muscle inside CCM he is no bigger than the other folks combined.he knows that.
 

Acheni kuzungumza kwa mafumbo. Sio wote tulioiona hiyo picha ya Pengo na huyo mnayeogopa kumtaja. Kwani sura yake si ipo kwenye picha, sasa ugumu wa kumtaja unatoka wapi?

Tiba
 
kwa mawazo yangu sidhani kama anategemea ccm tu. miaka yote amekuwa anatafuta watu na ameshawapate. Inawezekana ccm ni option namba moja. Wakimkataa sidhani kama watakwamisha safari yake ya matumaini. Tusubiri tuone.
kuna issue ya mgombea binafsi ilisikika mdomoni mwake...
 
Tazama CC inayopitisha majina halafu utajua kama huyu bwana kapita au laa..,like it or not, wafanya maamuzi halisi CCM walijua hii siku itafika wakajizatiti.

huu mtifuano bado mmbichi sana. at the end of the day,this is very good news for UKAWA.


Mwaka huu watasema yote but at least we warned them kwamba... Tia maji tia maji.....


God is still in His throne, some thought they can do any how; every body should expect unexpected.... Its done three years a go... Some people wapo kutumiza decree wengine hata bila kujua they are on course; Elija was a man like us but he did stop rain for two and half years.

Nipo nimesimama na miguu yangu nimeikita chini to destroy then to build... In the name of the highest, the blessed one, lord of lord, I am who I am, ancient of days, battle man, Jesus Christ of Nazareth!

I will never rest until its all manifested; to Him be glory and honor, amen and amen!
 
Upo wrong, apson yupo real na lowassa. Kwenye hilo kundi hakuna mjinga hapo. Hakuna mjinga ambae angeweza kufika hapo walipofika kila mmoja wao kimaisha, kuanzia lowassa, rostam na mwang'onda. Wanajua wanachotaka, na watakipata
 
Too late to catch the train.Tatizo nyie the so called usalama WA taifa,mnatuchanganya Sana.
 

Mkuu nasikitika kuwa siasa za CCM hujazijua vizuri. Makongoro kwa kumponda Lowassa walimuadhibu kwa kumvua uenyekiti CCM mkoa wa Mara. Mwakyembe ni fisadi wa mabehewa ya treni, Sitta wananchi wamemchoka alilazimisha katiba hela ikapotea na hata kura ya maoni hakuna et al.

Siasa za CCM ni maslahi zaidi na kufuata mkumbo na fedha. Bandwagon and money politics. JK is now a past ndani ya CCM, ukimshabikia hakuna future kabakiza miezi minne. Lowassa amesomea sanaa, jana kadhihirisha, kauli ya JK wameimanipulate. Kingunge jana kasema EL anakubalika ndani na nje ya chama. Umati wa jana ulimaanisha anakubalika ndani na nje ya chama. Kuna ile kauli aliirudia jana mara tano EL "Mapinduzi Daima" ilikuwa maalum kwa wanev wa Zenji
 
kuna issue ya mgombea binafsi ilisikika mdomoni mwake...

Kwani kuwa mgombea binafsi ni rahisi hivyo? Kama Chama tawala kimekukataa, unakuwa na wakati mgumu sana. Ataishia ACT. Lakini hata huko hataruhusiwa kugombea Urais. Yeye atulie tu...
 

Kama hizi hisia zako ni za kweli hata mimi naanza kupata wasiwasi...hivi mkuu mstaafu alikuwepo arusha kwenye kutangaza nia???
 
Mkuu nimekuelewa sana,binafsi nimejiuliza ila sikupata majbu murua kwamba ukilinganisha gharama ya maandalizi ya mkutano mbona haiendani na kinachotokea mkutanoni? relevance haikuwepo A-Z,na impact ya hili italicost kundi la Lowassa.Hata suala la kumu reveal mama Tibaijuka pale stejini halikuwa na credit za kuendelea kumharibia jamaa,watu ambao jamii inawatuhumu kwa maovu wewe ndo marafiki zako,tena mchana kweupe? EL is down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…