Elections 2015 Sasa naanza kupata picha kwamba Apson Mwang'onda yupo kwa Lowassa kikazi zaidi...

Endelea kujifariji kuwa CC ina nguvu kuliko NEC then tukutane baada ya mwezi hapahapa JF. Watanzania makini wote hatumtaki Lowassa lakini ndio hivyo ameishatuzidi ujanja

yani na kuvuliwa nguo kote na wassira bado unafikiri he stands a chance?!kweli watu wana roho ngumu.
 

Mkuu
Apson amestaafu kama viongozi wengine wanavyo stahafu, siyo kwamba amestep down kama unavyoeza hapa.
Na naamini kuwa baada ya kustahafu ana uhuru wa kuingia kambi yoyote. Si amini kuwa ana agenda yoyote ya siri.
 
yani na kuvuliwa nguo kote na wassira bado unafikiri he stands a chance?!kweli watu wana roho ngumu.

Wasira ameshindwa kujaza kale kaukumbi kadogo ka BOT Mwanza, na pia kwa kuwa naye ni mgombea aliyoyaongea yataonekana kama ni siasa za majitaka. Wasira hana hela za kufanya siasa za uraisi zaidi ya kuonekana kama ametangulizwa na Membe. Membe mwenyewe anaogopa hata kutangaza nia baada ya BAR kuwa raised jana. Ona kijana mdogo Mwigulu alivyomfunika Wasira
 

Mkuu kumbe unaijua vizuri Tanzania.
Mleta mada amesema hisia zake tu.
Ukweli uko wazi Lowassa ndo atapitishwa na CCM. Piga uwa, Hakuna mwenye ubavu wa kukata jina lake.
Hayupo.( Kumbuka huyo aliyemtaja ndo alimwingiza JK madarakani). Kama niwafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi yetu mtakumbuka kuwa jina la JK lilikuwa lisifike hata 5 bora. Na huo ni mkataba upo. Kama mlimsikia jana kwenye hotuba yake mbovu alisema ni mara ya tatu anaomba ridhaa ambako mwaka 2005 alimuachia JK na yeye ndo alikuwa Campaign Manager wa JK.
Hakuna mtu ndani ya CCM anayeweza kupingana na huyo mzee AM.
 

Na hao waliojaza uwanja kule arusha walitoka wapi? Unadhani bil 1.5 za kujaza watu kule zilitoka wapi? Wasira is smarter than Lowassa.
 
Mkuu sina cha kunyoosha hapo. Yaani hivyo ndiyo hivyo hivyo, kama kuna cha kurekebisha hapo ni gramma maana hata mimi naona kuna herufi zimekaa mahali pasipo pake.

Kwa hiyo Idara ya Usalama wa Taifa imeingia front kumdhoofisha Laigwan,Kwa Maslahi ya nani ?
Kama ni kwa Maslahi ya Nchi basi TISS walipaswa kuihujumu na kuitokomeza CCM katika Sura ya Dunia.
Otherwise leo uniambie kuwa TISS ni idara ama Sub division ya Green Guard
 

Sina cha kuthibitisha hapo mkuu wangu. Ni hisia tu.
 
Rais wa nchi.hii ni el inajulikana.hakuna.wa kutupinga.ccm tutampitisha kwa nguvu.zote watupshe.mafisad wanaotusingizia
 
Na hao waliojaza uwanja kule arusha walitoka wapi? Unadhani bil 1.5 za kujaza watu kule zilitoka wapi? Wasira is smarter than Lowassa.

Mkuu even Mwigulu is smarter than EL - ambaye anabebwa na mbwembwe nyingi wakati kichwani mtupu
 
Kama wanaubavu wakate Jina lake kama hawajamleta Ballali hapa bongo faster ....

Kauli hiyo ya kumleta balali aliitamka akiwa katika hali ya kuzidiwa na kilevi wakiwa huko Monduli katika moja ya vikao vyao vya kujenga mikakati. Alisikika akisema "wakithubutu tu kukata jina langu nitahakikisha namleta nchini Daud Balali"
 
Faiza mrembo wangu uko wapi? nilikuinbox hukunijibu. Ok, tuyaache hayo, njoo kwenye huu uzi nikusome tena switie
 
Hapa nitoe pongezi kwa ndugu yetu Consigliere kwa maono ya mbali, naweza amini sasa upo ndani ya kampuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…