sasa nataka kuoa!!!!

David

Member
Joined
Dec 11, 2006
Posts
69
Reaction score
25
mim ni kijana miaka 29 ni mfanyabiashara nipo mpanda katavi mkoa mpya nahitaji msichana mcha mungu ili nimuoe umri 18-25
 
Tumsifu yesu kristo naomba unitafute PM tuanze kusali kwa pamoja na pia tutafakari kwa pamoja mateso ya bwana wetu YESU kristo aliyekufa msalabani kwa ajili yetu.
 
mtakavyoanza kusema, pookea uzima! Nahisi utapokea kila kitu. Ni njia nzuri lakini, loh! Ningekuwa mimi nisingeacha nafasi hii.
 
Kama unatafuta binti wa kuoa ukiwa na miaka 29 tena kwenye mtandao, ni dhahiri utaoa ukiwa na miaka 40. Muda wote kutafuta ulikuwa wapi au unataka kugegeda wadada wa watu kwa kisingizio cha ukristo? Kama lengo lako ni kugegeda, we ni SATAN
 
Mkuu hebu jaribu kuisoma post yako mara mbili mbili...

Kama unatafuta binti wa kuoa ukiwa na miaka 29 tena kwenye mtandao, ni dhahiri utaoa ukiwa na miaka 40. Muda wote kutafuta ulikuwa wapi au unataka kugegeda wadada wa watu kwa kisingizio cha ukristo? Kama lengo lako ni kugegeda, we ni SATAN
 
Tumsifu yesu kristo naomba unitafute PM tuanze kusali kwa pamoja na pia tutafakari kwa pamoja mateso ya bwana wetu YESU kristo aliyekufa msalabani kwa ajili yetu.

ndo kitafuata kwikwikwikwikwi mie thimo.
 
Mdogo wangu Mungu akubariki upate mke atakaekuwa na bahati na wewe na muishi maisha mema
Ushauri wangu,
Usioe mpaka itakapobidi kuoa kwani ndoa sio mchezo lazima uwe na ustahamilivu wa kutosha,
 
Napita

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…