Sasa naweza kuwa member..

P dady

Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
6
Reaction score
1
baada ya kupita na kishangaa kila uchwao jf sasa nimeamua kuingia ndani na mm nijisongeze fikra zangu na kupata maarifa zaidi,

Nimesoma post nyingi sana za watu mbalimbali na nimejifunza mengi sana kupitia jf kiukweli kuna majukwaa murua na makini kwa watu makini waliopo jf na pia wale waipitiao tu!

Nashukuru kuwepo hapa na tusaidiane kwa kunipa miongozo kwani ni mgeni na nahitaji msaada wa wenyeji ili nikidhi viwango vya great thinkers thanks members wa jf na mofs ki ujumla.
 
Karibu sana P dady jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nashukuru kwa ukarim wenu ila kama nilivyoomba mie bado mgeni hapa nina shida na jukwaa la Dini na Imani linakataa kufunguka msaada tafadhari nifanyaje fanyaje niweze pita ndani?
 
Wakuu nashukuru kwa ukarim wenu ila kama nilivyoomba mie bado mgeni hapa nina shida na jukwaa la Dini na Imani linakataa kufunguka msaada tafadhari nifanyaje fanyaje niweze pita ndani?

wasiliana na Invisible akupe ruhusa ya kuingia huko kupitia private message (pm), inabidi utoe sababu za msingi kwa nini uende huko.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…