Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

Acha uongo mdau
 
Ila Mange ana roho stoki sana na watu wa design yake kuendelea ni shida,ananifurahisha anavyowazingua miCCM tu ila ni mtu ambaye ni chizi tu anaweza ku.dhamin kana unamfuatilia trend za mabifu yake toka enzi za U turn
 
Hahahaha, unatumia nguvu sana kuwaelewesha watu humu Mkuu 1+3 ,ni ndugu

Mke wa kusaga na shemeji yake
halafu subiri itoke hiyo ya mzee tyson kwenye wasafi fm,Hiyo documents niliiona mahala lakini najua itatoka tu...kuna waliokuwa wanabisha kabisa kusaga hausiki,wafike tu clouds waulize juhaniya ni nani?tena kuna kipindi hadi mdogo wake wa kike kama mwarabu naye alikuwa aanafanya kazi pale clouds,joe kusaga jembe kwenye jina la mwanamama hajaweka ubini wa kusaga,kwenye fm ndo kabisaaaaa
 
Sasa hivi wanaamisha magoli 45% ni nyingi mno gata MO ana 49% kwa Simba na ndiyo mmiliki mkuu Mack wa facebook hisa zake pale hazifiki hata 30%.
KWA HIYO HATA KAMA NILIKOSEA ASILIMIA ZA SHARE.... POINT KUBWA SI NIPO SAHIHI? KUNA MKONO WA JOSEPH KUSAGA *tv ni yake*MAANA WATU HAPA WALIBISHA KABISAAAAAAAAAAAAAA
 
Hata kama Kusaga anahusika,lakini 45% ni nyingi sana kwa kijana kama Diamond aliyeanza kupambana tunamuona!

Hongera sana kwake!
 
KWA HIYO HATA KAMA NILIKOSEA ASILIMIA ZA SHARE.... POINT KUBWA SI NIPO SAHIHI? KUNA MKONO WA JOSEPH KUSAGA *tv ni yake*MAANA WATU HAPA WALIBISHA KABISAAAAAAAAAAAAAA
View attachment 945977
Hakuna aliebisha tatizo lilikuja ma haters wa Diamond kusema anatumika tu mali sio yake na kusema share aliyonayo haizidi 8% hakuna asiejua u partnership wa diamond na kusaga tatizo linakuja kutaka kutuaminisha hana chake.
 
Sasa hivi wanaamisha magoli 45% ni nyingi mno gata MO ana 49% kwa Simba na ndiyo mmiliki mkuu Mack wa facebook hisa zake pale hazifiki hata 30%.
UNAOTAA WEWE....MACK hisa zake hazifiki 30????
 
Sasa hivi kabakia mtabiri tu, eti ohhooo uko mbele Kusaga atamnyang'anya, anazani mondi ni mbugila mbugila kama yeye, yupo yupo anashindwa tafuta hata kibarua.

Dogo hajasoma lakini anajua thamani ya kazi yake, kujibrand yeye na label yake na anajua thamani ya wanasheria, mikataba yake yote lazima wanasheria wake waipitie ndio yy asaini.

Tumpongeze tu dogo Form four, lkn mambo anayoyafanya kawapita mpaka wenye degree.
 
UOTE="Annael, post: 29337987, member: 55521"]Issue ya clouds ipo complicated sana.
Clouds TV na Clouds FM waulize mitambo waliipata wapi!? Kuna organization fulani mitambo hiyo ilitoka. Ni suala la muda tu. Hayo nayo yataripuka Ruge analijua hilo. Hata vifaa vya THT vilitolewa kwaajili ya wasanii wote.

Kuhusu Wasafi TV taarifa zote zipo wazi TCRA. Kwenye document za TCRA wamilki wapo watatu. Mwanamke mmoja ambaye anasadikika ni mke wa Kusaga 50% Nasibu 48% na mwingine 2%.
Tafuta document za TCRA.[/QUOTE]
Ni 53% Mke wa Kusaga, 45% Diamond, 2% Ndugu yake Kusaga
 
Hiyo document ipo wapi[name UOTE]
Unapoomba leseni TCRA hutangaza kwenye magazeti waombaji, hisa anazomiliki na aina ya leseni anayoomba. Kwa hiyo ilitangazwa kwenye magazeti, sikumbuki lini lakini ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…