Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, Mkuu niwekee nachukua soda kabisa hapa dukaniIjia kilo mbili zako za korosho tutakazo gawiwa tuanze kutafuna zetu mapema tukiangalia mraruano wa hoja..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, Mkuu niwekee nachukua soda kabisa hapa dukaniIjia kilo mbili zako za korosho tutakazo gawiwa tuanze kutafuna zetu mapema tukiangalia mraruano wa hoja..
Sasa mbona wameingia mitini jamani..daah!!! Au wameingia kwenye ibada ya jioni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]still waiting..(korosho zako ziko tayari mkuu,zimeshabanguliwa kabisakabisa..hahhaa)..Hahahaha, Mkuu niwekee nachukua soda kabisa hapa dukani
Hahahaha, watakuja tu ,niwekee nachukua boda boda niwahiSasa mbona wameingia mitini jamani..daah!!! Au wameingia kwenye ibada ya jioni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]still waiting..(korosho zako ziko tayari mkuu,zimeshabanguliwa kabisakabisa..hahhaa)..
mkuu, nimeufatilia huu mjadala mwanzo mwisho na wengine mpaka wanatukanana humu lakini kati yao wote hakuna alieleta ushaidi kutetea hoja zao, nadhani hii post yako imemaliza mabishanoKuna mtu kapost hii mahaliView attachment 945730
Well said mkuuDah! We una akili sana... manake umetoa mfano mujarabu kabisa; Bishara ya Duka! Biashara ambayo hata miezi 3 uliyosema wewe ni mingi sana manake hata ndani ya mwezi mmoja, duka linaweza ku-shine kuliko maduka yote iliyoyakuta but not media business!
Clouds Media hao hao, wana radio ngapi but still inayojulikana sana ni Clouds FM! Halafu eti Kusaga aamue kuiua kwa kuitegemea Wasafi ambayo ndo kwanza ipo kwenye majaribio!
Hilo la Diamond na umiliki wa 2% ni mwehu tu ndie anaweza kuamini! Wakati huo uwekezaji wake unahitaji bilioni mia ngapi hadi akubali kumilikishwa 2%!! Watu wanaopewa 2% ni wale ambao hawana kabisa capital ya kuchangia na hivyo capital yao inakuwa ujuzi wao ili hatimae atumie ujuzi wake kuendeleza biashara husika huku nae akiwa kama mmoja wa wamiliki!
Sasa kama ulivyosema, yaani auze brand for 2% huku yeye mwenyewe akiwa ndo mpiga debe mkuu!
Halafu watu wanajisahaulisha tu! Diamond alikuwa na nia ya kuanzisha radio way back 2014 na kwahiyo wala sio kwamba kenda mtu kamfungulia idea ya media na kisha kuzawadiwa 2%!
Halafu acha kuadimika bhana!!
Hahahaha wa 2% ulimi mtelezamkuu, nimeufatilia huu mjadala mwanzo mwisho na wengine mpaka wanatukanana humu lakini kati yao wote hakuna alieleta ushaidi kutetea hoja zao, nadhani hii post yako imemaliza mabishano
Halafu huyu Juhayna si mke wa Joseph Kusaga..!!!
Ila yule aliesema hisa ni 98% kwa 2%..!!
HahahahaMke wa kusaga 53% naseeb 45% kwenye hili nilikuwa namuona dada wa taifa kama mwehu tu. Nimeumbuka mimi.
Unajua hizo 2% na Mke wa kusaga ni nani?Mke wa kusaga 53% naseeb 45% kwenye hili nilikuwa namuona dada wa taifa kama mwehu tu. Nimeumbuka mimi.
Hapa huwaoni tena wazee wa 2% yaani kutolea jasho kote kule diamond awe na 2% na hii ieleweke wazi diamond sio mjinga na hizi hisa kila sehemu wanayoshilikiana na huyo kukoboa jua dogo anazaidi ya 40%.Hahahaha wa 2% ulimi mteleza
Hapa huwaoni tena wazee wa 2% yaani kutolea jasho kote kule diamond awe na 2% na hii ieleweke wazi diamond sio mjinga na hizi hisa kila sehemu wanayoshilikiana na huyo kukoboa jua dogo anazaidi ya 40%.
Nikuambie tu kitu ndugu yangu humu ndani hatujuani na kuna watu wana stress za maisha ajabu sasa hasira zao wanakuja kuzimalizia kwa watu hata wasiowajua ushauri wangu ukiona mtu wa namna hii usijibu lolote aki kushambulia.Sikulaumu kwani uwezo wako wakufikiri umeishia hapo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14].
Sio ujuaji ni wivu tu wa kimasikini maana sisi masikini sifa yetu kubwa ni uongo na roho mbaya na hatupendi kabisa kumuona mtu kafanikiwa siku zote tunatamani ashuke tufanane nae na asiposhuka basi ni kutokumkubali tu kabisa kwa lolote afanyalo.Hahahaha, JF kila MTU mjuaji humu
inategemeana, mtaji si pesa tu, hata brand ni mtajiUlisha wahi kufanya biashara ya share?
Yaani mtaji wa kuanzisha project tuseme ni 50 Milion, mm nitoe milion 48 na ww utoe milion 2 halafu uje umiliki hisa 49 na mm nimiliki hisa 51? Hapa hata haitaji mwanasheria kama project ni wazo la kusanga na yy kma katoa hela nyingi, lazma Kusanga awe na hisa nyingi
Sio ujuaji ni wivu tu wa kimasikini maana sisi masikini sifa yetu kubwa ni uongo na roho mbaya na hatupendi kabisa kumuona mtu kafanikiwa siku zote tunatamani ashuke tufanane nae na asiposhuka basi ni kutokumkubali tu kabisa kwa lolote afanyalo.
Tumebakiza kwenye wasafi fm na Diamond karanga.Hapa huwaoni tena wazee wa 2% yaani kutolea jasho kote kule diamond awe na 2% na hii ieleweke wazi diamond sio mjinga na hizi hisa kila sehemu wanayoshilikiana na huyo kukoboa jua dogo anazaidi ya 40%.
teh pengine hiyo brand ndiyo hizo hisa 8%, japo hii hisa anayo miliki diamond hakuna mwenye uhakika nazoinategemeana, mtaji si pesa tu, hata brand ni mtaji
Hawajui wanachoongeaNi porojo tu,,Hivi utumie brand yangu unipe 2%?inakuja kweli?? Hamuwezi kuwa siriaz bhana..