Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

Joe na DAB huko wasafi ni kitu kimoja kama kweli angetaka iendelee wangeyamaliza hukohuko,suninimabie kwamba Joe angeshindwa kuongea na mwakyembembe,sirro,DAb au Jpm hili suala likaisha
Unaongea kwa sauti ya Mange Kimambi!!

Mambo mengine ni ya kutumia common sense tu!

Yaani unaamini kabisa Joseph Kusaga anaweza kuhujumu a well established family company aliyoitolea jasho since Day 1 kwa sababu tu, according to Mange, ameamua kuanzisha media house nyingine?

Hivi kwa akili yako unadhani Joe hana share za kutosha pengine kuliko mwanafamilia mwingine yeyote yule pale Clouds?! Hivi unaamini kabisa katika mazingira kama hayo anaweza kuthubutu kuiangamiza wakati at family level, Joe ndo Clouds na Clouds ndo Joe?! Hivi unaamini anaweza kuiua media yenye coverage nchi nzima huku ikifanya shughuli zingine nje ya nchi... tena aanze kuia kwa sababu ya Wasafi ambayo radio yake mwisho Dar es salaam na itawachukua zaidi ya mwaka kupata leseni ya nchi nzima!

Assume wewe ndo Joseph Kusaga; ungeweza kufanya upumbavu kama huo?!

Again, ikiwa hata nyie msiefahamu shareholding ya Clouds tayari mnafahamu eti Joe anaihujumu Clouds ifo Wasafi!! Ina maana hadi leo Kusaga Family hawajafahamu kwamba Joe anawahujumu ikiwa hata akina nyie tayari mnafahamu?!

Hivi inaingia akilini kwamba wangeendelea kumuacha aiongoze Clouds wakati wanafahamu ana lengo la kuiua?! Yaani mnaamini kabisa kwamba Mange anaweza kupata inside info za Clouds lakini Kusaga Family washindwe kuzipata?

Btw, Joe aki-fight kupata kibali cha Fiesta Dar kunaiporomosha vp Wasafi Media? Au ndo kwavile Mange kawaambia Joe anataka kuiua Clouds?!

Mashabiki wa Mange na wa Le Mutuz mpo kama kokoro vile! Yaani mnameza kila mnachoambiwa bila ku-digest!
 
Unaongea kwa sauti ya Mange Kimambi!!

Mambo mengine ni ya kutumia common sense tu!

Yaani unaamini kabisa Joseph Kusaga anaweza kuhujumu a well established family company aliyoitolea jasho since Day 1 kwa sababu tu, according to Mange, ameamua kuanzisha media house nyingine?

Hivi kwa akili yako unadhani Joe hana share za kutosha pengine kuliko mwanafamilia mwingine yeyote yule pale Clouds?! Hivi unaamini kabisa katika mazingira kama hayo anaweza kuthubutu kuiangamiza wakati at family level, Joe ndo Clouds na Clouds ndo Joe?! Hivi unaamini anaweza kuiua media yenye coverage nchi nzima huku ikifanya shughuli zingine nje ya nchi na anafanya hivyo kwa sababu ya Wasafi ambayo radio yake mwisho Dar es salaam na itawachukua zaidi ya mwaka kupata leseni ya nchi nzima!

Assume wewe ndo Joseph Kusaga; ungeweza kufanya upumbavu kama huo?!

Again, ikiwa hata nyie msiefahamu shareholding ya Clouds tayari mnafahamu eti Joe anaihujumu Clouds ifo Wasafi!! Ina maana hadi leo Kusaga Family hawajafahamu kwamba Joe anawahumu ikiwa hata akina nyie tayari mnafahamu?!

Hivi inaingia akilini kwamba wangeendelea kumuacha aiongoze Clouds wakati wanafahamu ana lengo la kuiua?! Yaani mnaamini kabisa kwamba Mange anaweza kupata inside info za Clouds lakini Kusaga Family washindwe?

Btw, Joe aki-fight kupata kibali cha Fiesta Dar kunaiporomosha vp Wasafi Media? Au ndo kwavile Mange kawaambia Joe anataka kuiua Clouds?!

Mashabiki wa Mange na wa Le Mutuz mpo kama kokoro vile! Yaani mnameza kila mnachoambiwa bila ku-digest!
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
Coconut FM ya Zanzibar inatumia mwimbi ya 88.9. Juzi wanatangaza wanaachana na mawimbi hayo na kuanzisha mapya.
Unajua mmiliki wa coconut fm ni nani!? Na hayo mawimbi 88.9 yanamilkiwa na nani!?
Draft limeshachorwa. Watabaki wengine gizani tu. Kama wewe hapa. Wajanja tunajua.
 
Sasa hilo linahusiana vp na nilichoongea mimi? Kama hilo la Coconut umelifahamu hiyo juzi binafsi nalifahamu tokea kitambo ingawaje sio kuhusu Frequencies!

Hoja hapa ni Joseph Kusaga kutaka kuiua Clouds Media!

Anzia hapo na sio habari za Coconut FM
 
Sasa hilo linahusiana vp na nilichoongea mimi? Kama hilo la Coconut umelifahamu hiyo juzi binafsi nalifahamu tokea kitambo!

Hoja hapa ni Joseph Kusaga kutaka kuiua Clouds Media!

Anzia hapo na sio habari za Coconut FM
Sasa unataka mimi niongee unavyotaka? Mleta mada kaeleza mambo mengi.
Kusaga hana nia ya kuua Clouds.
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
Coconut FM ya Zanzibar inatumia mwimbi ya 88.9. Juzi wanatangaza wanaachana na mawimbi hayo na kuanzisha mapya.
Unajua mmiliki wa coconut fm ni nani!? Na hayo mawimbi 88.9 yanamilkiwa na nani!?
Draft limeshachorwa. Watabaki wengine gizani tu. Kama wewe hapa. Wajanja tunajua.
Mnaweza kutumia frequency inayo fanana mikoa tofauti wamiliki tofauti ,so frequency ya Zanzibar huwezi itumia Dar,vitu vingi lazime mjue Analogue Telecommunication na maswala ya Modulation,waachieni wenyewe watu wa Spectrum Engineering TCRA, huyo mange atawafanya muwe machizi.
 
Issue ya clouds ipo complicated sana.
Clouds TV na Clouds FM waulize mitambo waliipata wapi!? Kuna organization fulani mitambo hiyo ilitoka. Ni suala la muda tu. Hayo nayo yataripuka Ruge analijua hilo. Hata vifaa vya THT vilitolewa kwaajili ya wasanii wote.

Kuhusu Wasafi TV taarifa zote zipo wazi TCRA. Kwenye document za TCRA wamilki wapo watatu. Mwanamke mmoja ambaye anasadikika ni mke wa Kusaga 50% Nasibu 48% na mwingine 2%.
Tafuta document za TCRA.

Document za ownership, zinakuwa BRELA si TCRA .....
 
Ukila na mnafiki ujue ipo siku unafiki huo utakuathiri, mimi ndiyo maana huwa sipendi kabisa kujiingiza kwenye mambo ya siasa. Wanasiasa wengi ni wanafiki hawana future! Wanaangalia kwenye pua!
 
Sasa unataka mimi niongee unavyotaka? Mleta mada kaeleza mambo mengi.
Kusaga hana nia ya kuua Clouds.
Wewe ndo unataka niongee unavyotaka! Mleta mada hakuna anachomaanisha zaidi ya kile ambacho huwa anakiongelea Mange kwamba Joe anaihujumu Clouds!

Kwa kuangalia hoja hiyo, nami nikaelezea ni namna gani Joe hawezi kuwa mwendawazimu wa kutaka Clouds ife wakati ile ni legacy yake na amekuwa pale since Day 1.

Hakuna popote nimeelezea suala la umiliki lakini wewe ndo ukaja na hoja za umiliki with reference to Cocunut FM !!!

Sasa ni nani anayetaka mwenzake aongee anachotaka yeye?!
 
Je taarifa hii ni sahihi
IMG-20181124-WA0004.jpg
 
Issue ya clouds ipo complicated sana.
Clouds TV na Clouds FM waulize mitambo waliipata wapi!? Kuna organization fulani mitambo hiyo ilitoka. Ni suala la muda tu. Hayo nayo yataripuka Ruge analijua hilo. Hata vifaa vya THT vilitolewa kwaajili ya wasanii wote.

Kuhusu Wasafi TV taarifa zote zipo wazi TCRA. Kwenye document za TCRA wamilki wapo watatu. Mwanamke mmoja ambaye anasadikika ni mke wa Kusaga 50% Nasibu 48% na mwingine 2%.
Tafuta document za TCRA.

🙌🙌
KATIKA COMMENTS ZOTE HII NDIO KUNTU!

SIAMINI KAMA DIAMOND NA UJANJA WAKE WOTE ULE ETI AWE ANAMFANYIA MTU KAZI KWA NGUVU ZOTE HIZI... BIG NOOO!
HAWEZI AKAWA NA SHARE 8% TU YULE SIO BOYA! KIDOGO 48% NAKUBALIANA NA WEWE MKUU!
 
Wewe ndo unataka niongee unavyotaka! Mleta mada hakuna anachomaanisha zaidi ya kile ambacho huwa anakiongelea Mange kwamba Joe anaihujumu Clouds!

Kwa kuangalia hoja hiyo, nami nikaelezea ni namna gani Joe hawezi kuwa mwendawazimu wa kutaka Clouds ife wakati ile ni legacy yake na amekuwa pale since Day 1.

Hakuna popote nimeelezea suala la umiliki lakini wewe ndo ukaja na hoja za umiliki with reference to Cocunut FM !!!

Sasa ni nani anayetaka mwenzake aongee anachotaka yeye?!
Nikuulize maswali mawili tu.
1. Je, unajua vifaa vya clouds TV na FM vilitoka wapi!?

2. Je sakata la uvamizi wa clouds TV unajua mission behind!?

So ukijua vifaa vya clouds vilitoka wapi ndipo utajua mission behind ya sakata la uvamizi.
 
Back
Top Bottom