Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

πŸ™ŒπŸ™Œ
KATIKA COMMENTS ZOTE HII NDIO KUNTU!

SIAMINI KAMA DIAMOND NA UJANJA WAKE WOTE ULE ETI AWE ANAMFANYIA MTU KAZI KWA NGUVU ZOTE HIZI... BIG NOOO!
HAWEZI AKAWA NA SHARE 8% TU YULE SIO BOYA! KIDOGO 48% NAKUBALIANA NA WEWE MKUU!
Hii ni kweli kabisa. Documents zipo. Ila unatakiwa utumie jitihada kuzipata.
 
Mnaweza kutumia frequency inayo fanana mikoa tofauti,so frequency ya Zanzibar huwezi itumia Dar,vitu vingi lazime mjue Analogue Telecommunication na maswala ya Modulation,waachieni wenyewe watu wa Spectrum Engineering TCRA.
Kwa kutumia hoja za Annael, hii radio hapa chini inamilikiwa na IPP Media!

 
Watu wanapewa dots kisha wanaunganisha wenyewe.
Clouds ilikuwa ni uwanja wa mapambano tu. Wengine walikuwa wakisema walikuwa wanalala maporini.
Sijakuelewa kabisa boss
 
Nikuulize maswali mawili tu.
1. Je, unajua vifaa vya clouds TV na FM vilitoka wapi!?

2. Je sakata la uvamizi wa clouds TV unajua mission behind!?

So ukijua vifaa vya clouds vilitoka wapi ndipo utajua mission behind ya sakata la uvamizi.
Bado hiyo sio hoja niliyoongea na wala havihusiani na nilichoongea unless kama unaamua kutoka kwenye hoja niliyoongea mimi!

That's one but second, sina silika ya kuongelea vitu ambavyo havina reliable source unless kama suala lenyewe linahitaji tu personal judgement!

Hivi hushangai suala la Coconut nimeligusia tu na wala sikuongea kwa undani kwamba linahusiana vipi na Wasafi?! Sijaingia ndani kwa sababu mtu akinidai source, sitakuwa nayo! Na kwa kawaida sina utamaduni wa kuongelea mambo ambayo sina
reference au ambayo reference yake ni maneno ya barabarani!! I can do it VERY rarely in politics and trust me, hata huko kwenye politics lazima nitakuwa tu na defensive mechanism!

So, majibu ya hayo maswali yako kwangu yatabaki kuwa just gossips as long as hayana ushahidi wowote!
 
Ni kweli na jamaa ni potential na very creative. Kumrudisha ni makubaliano tu mkuu. Ni kumuongezea hela tu.

Maana Ruge ndio hivyo tena Sasa wanahitaji Mtu mwenye uwezo na uzoefu.
hawezi kurudi mambo yalishakuwa personal ruge alimtenda vibaya mama watoto wa NCHA KALI (dina marios) akamtimua kazi kisa mchepuko wake zamaradi

nimefanya kazi na SCANAD juzi hapa na nikapata wasaa wa kuzungumza na ncha kali (mambo ya design ya kazi yenyewe) kwa jinsi anavyoonekana anavyofurahia kazi yake SCANAD sidhani kama ni mtu wa kuondoka anytime soon
 
Poa mkuu, ila kwa tasnia nzima ya radio na burudani kwa hapa bongo kwa sasa kutafuta kichwa cha kuibeba clouds tena ni ngumu kupata. Ni kama hamna kwanza.

Kama ugomvi uligeuka personal ni shida...
 
Poa mkuu, ila kwa tasnia nzima ya radio na burudani kwa hapa bongo kwa sasa kutafuta kichwa cha kuibeba clouds tena ni ngumu kupata. Ni kama hamna kwanza.

Kama ugomvi uligeuka personal ni shida...

wale jamaa ambao kwa sasa wanaiongoza ile taasisi ni watu watu wepesi sana hawaiwezi ile kazi

just imagine seba maganga ndio program director na shafih dauda ndio program manager

upande wa creativity pia wapo watu wepesi mnooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…