Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

Mkuu hivi unajua walio nyuma ya Diamond kumfikisha hapo alipo Kusanga yupo? Walio mfanikishia mafanikio ya diamond pana mikono ya watu wengi wengi sana, Hadi Kikwete yupo, brand ya diamond imekuzwa na watu wengi sana + juhudi zake mwenyewe
Hata kama kusaga yupo lakini sio kwa wanavyotaka kutuaminisha kuwa mwenye brand eti ana percent ndogo.
 
Ningepata kuona ukiambatanisha na documents za brela (utanisahihisha) zinazoonesha umiliki wa wasafi, ingekua poa sana.
Lakini pia share hua wanaomba kupewa?
Nijuavyo mimi, share huuzwa.
 
Kusanga ndo nani
 
Dah! We una akili sana... manake umetoa mfano mujarabu kabisa; Bishara ya Duka! Biashara ambayo hata miezi 3 uliyosema wewe ni mingi sana manake hata ndani ya mwezi mmoja, duka linaweza ku-shine kuliko maduka yote iliyoyakuta but not media business!

Clouds Media hao hao, wana radio ngapi but still inayojulikana sana ni Clouds FM! Halafu eti Kusaga aamue kuiua kwa kuitegemea Wasafi ambayo ndo kwanza ipo kwenye majaribio!

Hilo la Diamond na umiliki wa 2% ni mwehu tu ndie anaweza kuamini! Wakati huo uwekezaji wake unahitaji bilioni mia ngapi hadi akubali kumilikishwa 2%!! Watu wanaopewa 2% ni wale ambao hawana kabisa capital ya kuchangia na hivyo capital yao inakuwa ujuzi wao ili hatimae atumie ujuzi wake kuendeleza biashara husika huku nae akiwa kama mmoja wa wamiliki!

Sasa kama ulivyosema, yaani auze brand for 2% huku yeye mwenyewe akiwa ndo mpiga debe mkuu!

Halafu watu wanajisahaulisha tu! Diamond alikuwa na nia ya kuanzisha radio way back 2014 na kwahiyo wala sio kwamba kenda mtu kamfungulia idea ya media na kisha kuzawadiwa 2%!

Halafu acha kuadimika bhana!!
 

Hhahaha hapo mwisho hapooo! Nipo bana maaongezi mengine kuleee.
 
Hela si chochote mbele ya brand...! Diamond ana brand kubwa ya wasafi na marketing anafanya mwenyewe, sasa ww mil 50 yako itasaidia nini
 
Mkuu hivi unajua walio nyuma ya Diamond kumfikisha hapo alipo Kusanga yupo? Walio mfanikishia mafanikio ya diamond pana mikono ya watu wengi wengi sana, Hadi Kikwete yupo, brand ya diamond imekuzwa na watu wengi sana + juhudi zake mwenyewe
Siku zote hakuna mtu anafankiwa pasipo mikono ya watu wengine...! Hayupo
 
I love the way u presented this, hizo ndk akili sasa
 
kumbe da Mange alikua sahihi???
 
kama nakuelewa hvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…