Sasa ndio Nimeamini MZIWANDA ni Ndorobo kweli*2

Hahahah mziwanda kikwetu ni mtoto wa mwisho yaan kitinda mimba acheni afanye yake bado umri unamruhusu Mziwanda
 
Mkuu inawezekana mashabiki wapo upande mwingine hivyo hawakutokea kwenye picha. Teheeee
 
Hahahah mziwanda kikwetu ni mtoto wa mwisho yaan kitinda mimba acheni afanye yake bado umri unamruhusu Mziwanda

mi nilizani mziwanda la baba yake,maana anaitwa Nuhu Mziwanda
 
Tatizo wasanii wetu wengi ni std 7 hawana kabisa upeo wa kupambanua mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…