proto cute
Senior Member
- Apr 22, 2015
- 191
- 112
No aliandika i hit the stage now now!!!
Hahahahahha! I hit the stage now.....u made my day
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No aliandika i hit the stage now now!!!
kwani Shilole mwenyewe unahisi ana akili?
hah.!! Kwahyo kapanda stage mwenyewe, shilole kamphotoa.,!
Hawa wakapimwe akili. Sijawahi ona.
Hahahah mziwanda kikwetu ni mtoto wa mwisho yaan kitinda mimba acheni afanye yake bado umri unamruhusu Mziwanda
mi nilizani mziwanda la baba yake,maana anaitwa Nuhu Mziwanda
Huyu mtoto anaitwa Mziwanda ni ndorobo wa hatari,Jamaa katoka hapa na demu wake shilole kwenda kufanya show Ubeligiji cha kushangaza kafika kule kazi ni kupiga picha yeye na jukwaa tu(bila mashabiki)
Mnaweza kuingia kwenye account yake Instagram kushuudia vituko.
Nimejiuliza hakupata wahuzuriaji?
Na kama hakupata alikuwa na sababu gani ya kupiga picha na jukwaa tu..??
Maiki yenyewe ya waya tena waya refu kinoma "eti ulaya hahaha...
Nadhani angekula mikausho ingemsaidia zaidi,Baya kuliko yote dogo kaposti "eti amefanya show ya wazungu tupu bila black people hivi ana akili kweli nadhani upo upungufu kwenye ubongo wake
Na anaitaji watu wa kumfanyia matibabu ya ubongo,Binafsi si kujuwa kama huyu Bwa mdogo ni Ndorobo kiasi hiki.Kweli Shilole kazi anayo "Yani mtu anadharau rangi yake mwenyewe dah..kweli ulaya mbinguni kwa baadhi ya watu.
Mkuu hamna namna ya kuteka akili za watu kwa upuuzi kama wa huyu dogo
Zaidi mi naona anajichimbia kaburi lake kisanii!!
wamekutana ni kopo na mfuniko wake!