Sasa ni Agenda Maalum hatuishii tu kwa Kiboko ya Wachawi, ila akina Mwamposa na Mwasha nanyi mtafuata

Sasa ni Agenda Maalum hatuishii tu kwa Kiboko ya Wachawi, ila akina Mwamposa na Mwasha nanyi mtafuata

Kuna za chini chini nilizipata bwana mafuta anawapaka sana mafuta wadada na locations zao
 
Hongeni muwezavyo na Rogeni muwezavyo ila Nguvu ya Mitandao haijawahi Kushindwa na Wapuuzi Duniani.

Tofauti yenu na huyu Kiboko ya Wachawi mi ndogo sana ila nyote tu mnaogelea Bahari moja.

Tumewachoka na hatuwataki Tanzania kwani mmeharibu mno Akili za Watanzania na kuwazidishia Umasikini huku mkiendelea tu Kuwarubuni.

Tumeanza na huyu Mwenzenu na tukimaliza tunakuja Kwenu na bahati nzuri nyie ni wa hapo hapo Nyumbani Tanzania hivyo Mafaili yenu Mabaya tunayo na yapo.

Tumewavumilieni vya Kutosha Okay?
Mwamposa, GeoDevie and the likes wote ni wahuni tu hawana jipya. Wameingia mkataba na CCM kuwapumbaza watanzania ili watawalike kwa urahisi kama makondoo au manyumbu. Nchi hii ina mitawala ya kikwuma sana.
 
Back
Top Bottom