Sasa ni dhahiri, CCM wanapumulia mashine

Sasa ni dhahiri, CCM wanapumulia mashine

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sema wewe na familia yako unawasemea watanzania wewe kama nani
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sio Robert tu we fala hata mimi na ukoo wangu kura ni kwa Lissu tuu.
 
Sio Robert tu we fala hata mimi na ukoo wangu kura ni kwa Lissu tuu.
Tena Mwambie ni watanzania wote wenye akili timamu ambao Tuko wengi sana kuliko wasio na akili timamu Kama yeye , tunampa kura zetu Tundu Antiphas Lissu!
 
Tunawasihi watanzania kufuata sheria, kutofanya fujo wala kuharibu mali. Tuwe watulivu muda wote huku tukisimamia haki zetu. Tupige na kulinda kura zetu bila hofu wala woga wowote hii ni Haki zetu kisheria. Ukipiga kura kaa umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kura. TUTASHINDA!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameshatepeta hawa!! Kiuhalisia hawawezi kushinda , hata kwenye hila kuna elite class within the system imejipanga kuwa outsmart kwenye hila zao zote
Tunawasihi watanzania kufuata sheria, kutofanya fujo wala kuharibu mali. Tuwe watulivu muda wote huku tukisimamia haki zetu. Tupige na kulinda kura zetu bila hofu wala woga wowote hii ni Haki zetu kisheria. Ukipiga kura kaa umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kura. TUTASHINDA!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
we gonna prove you wrong hahahahaha
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Tutapiga kura za hasira dhidi ya lissu Kwasababu ya usaliti wake kwa Nchi, matusi yake na kutetea mambo machafu kwa wanaume

Watanzania tuna hasira na msaliti wa Nchi
we gonna prove you wrong hahahahaha
 
Back
Top Bottom