Sasa ni dhahiri hakuna mwenye haiba ya Urais CHADEMA kiongozi mahiri atatoka CCM tu!!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Nimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii.

Kama wananchi wazalendo tujikite kwenye kuiimarisha CCM Itawale miaka 100 ijayo.
 
Mjinga wao kwahiyo Samia ndio ana haiba ya urais?

Utekaji , uuzaji bandari, uuzaji mbuga , kula kwa urefu wa kamba ndio haiba hizo?
 
Nakufahamu fika jingalao wa nyakati za uchaguzi tokea 2015 huna la kuniambia.
nimeingia JF before that.nimekuona mtoto ulivyoingia hadi leo....sijawahi kuja INBOX sasa hivi mnaita DM ila nipo humu tu!!
 
Mjinga wao kwahiyo Samia ndio ana haiba ya urais?

Utekaji , uuzaji bandari, uuzaji mbuga , kula kwa urefu wa kamba ndio haiba hizo?
huo uwongo wa viongozi wenu kauthibitisha Lema kwenye press conference .viongozi wenu ni waongo na wazushi
 
nimeingia JF before that.nimekuona mtoto ulivyoingia hadi leo....sijawahi kuja INBOX sasa hivi mnaita DM ila nipo humu tu!!
Tupo kwenye hoja ya uchaguzi lakini, tubaki humo.
 
huo uwongo wa viongozi wenu kauthibitisha Lema kwenye press conference .viongozi wenu ni waongo na wazushi
Lema ameuza bandari ?

Lema amemteka nani?

Lema ameuza mbuga gani?

Lema amemuua nani?
 
Nilichojifunza ni kwamba ,wengi wanaojifanya wanasiasa hawaijui siasa na namna siasa inapambaniwa kupambania madaraka na ndio maana Kuna mambo yanafanyika kisiasa wengi wanaona ni vita
 
Nimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii.

Kama wananchi wazalendo tujikite kwenye kuiimarisha CCM Itawale miaka 100 ijayo.
Na tutaendelea tu kuwa wajinga chini ya utawala wa CCM
 
Nimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii.

Kama wananchi wazalendo tujikite kwenye kuiimarisha CCM Itawale miaka 100 ijayo.
Wewe Jinga hapo CCM nani anafaa? Wengi wenu mmejificha kwenye haiba ila kiuhalisia uwezo mdogo sana!
Kwanza haiba ndo ujinga gani hapo mbogamboga?
Hivi hapo CCM kuna mtu anapinga rushwa kwa kuitamka na kwa vitendo?
 
Kweli kabisa, presidential material hawezi kutumia muda mwingi kutukana na na wenzake. Walau Mbowe
 
Nimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii.

Kama wananchi wazalendo tujikite kwenye kuiimarisha CCM Itawale miaka 100 ijayo.C
CHADEMA imethibitisha ukubwa, umaarufu na umuhimu wake Tanganyika.. Yaani makada wife wa ccm wako CDM wamekikacha kabisa chama Chao,😂
 
Nimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii.

Kama wananchi wazalendo tujikite kwenye kuiimarisha CCM Itawale miaka 100 ijayo.
Mtoa Uzi anaitwa "JINGALAO"

wajinga wote huko YEYE ndiye mkuu wao.

Anastahili kupuuzwa na Uzi kupuuzwa pia ...😅🤣😅🤣😅🤔🚴🚴
 
Back
Top Bottom