The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Nimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii.
Kama wananchi wazalendo tujikite kwenye kuiimarisha CCM Itawale miaka 100 ijayo.
Yaani Afisa Masijala anakuwa na uwezo na credibility kuliko Lawyer....!!?