Nakufahamu fika jingalao wa nyakati za uchaguzi tokea 2015 huna la kuniambia.Fuatilia threads zangu binti...huwa sikosei
huo uwongo wa viongozi wenu kauthibitisha Lema kwenye press conference .viongozi wenu ni waongo na wazushiMjinga wao kwahiyo Samia ndio ana haiba ya urais?
Utekaji , uuzaji bandari, uuzaji mbuga , kula kwa urefu wa kamba ndio haiba hizo?
Tupo kwenye hoja ya uchaguzi lakini, tubaki humo.nimeingia JF before that.nimekuona mtoto ulivyoingia hadi leo....sijawahi kuja INBOX sasa hivi mnaita DM ila nipo humu tu!!
Lema ameuza bandari ?huo uwongo wa viongozi wenu kauthibitisha Lema kwenye press conference .viongozi wenu ni waongo na wazushi
Na tutaendelea tu kuwa wajinga chini ya utawala wa CCMNimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii.
Kama wananchi wazalendo tujikite kwenye kuiimarisha CCM Itawale miaka 100 ijayo.
Wewe Jinga hapo CCM nani anafaa? Wengi wenu mmejificha kwenye haiba ila kiuhalisia uwezo mdogo sana!Nimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii.
Kama wananchi wazalendo tujikite kwenye kuiimarisha CCM Itawale miaka 100 ijayo.
CHADEMA imethibitisha ukubwa, umaarufu na umuhimu wake Tanganyika.. Yaani makada wife wa ccm wako CDM wamekikacha kabisa chama Chao,πNimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii.
Kama wananchi wazalendo tujikite kwenye kuiimarisha CCM Itawale miaka 100 ijayo.C
Mtoa Uzi anaitwa "JINGALAO"Nimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii.
Kama wananchi wazalendo tujikite kwenye kuiimarisha CCM Itawale miaka 100 ijayo.