Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri: Kwa miaka mitano tumekuwa tukidanganywa. Uwanjani mambo ni magumu, hayako kama tulivyoambiwa

Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri: Kwa miaka mitano tumekuwa tukidanganywa. Uwanjani mambo ni magumu, hayako kama tulivyoambiwa

Kuna uzi niliwahi kuweka jukwaani na kuomba ufafanuzi lakini ulifutwa .

moderate way doin this.

Ni kwamba watumishi wengi hasa wa vijijini na hata mjini lakini sina hakika na mjini .

Wengi wamekuwa wanafatwa na watendaji kijiji/kata na kuwapa paper ili waandike majina yao na namba za vitambulisho vya kura pamoja na namba ya simu .
Kwa minajalini inahitajika na mkurugenzi .

Na nikaomba mtego upo wapi ili nipate kufahamu zaidi.

Ndugu binafsi nimehisi hii ni mbinu ovu.

Karibuni


Sent from my phone
 
Leo nilikua namwangalia muhutu aisee mambo ni magumu
 
Unapoitisha hadhara ya mkutano wa mgombea wa CCM huku ukitanguliwa na burudani za akina Chege, Diamond na AliKiba lazima ujaze uwanja.

Kuna vijana wengi wanapenda burudani lakini toka Ruge Mutahaba (RIP) aanzishe matamasha ya FIESTA kuna mtu hajawahi kujaaliwa kuingia kumuona Diamond kutokana na kiingilio kinakuwaga Tsh 10,000.

Sasa Diamond amekuja Tabora hata ningekuwa mimi ni mtoto wa Freeman Mbowe nitakuja tu uwanjani kumuona Alikiba au Diamond kisha nisikie porojo na uropokaji wa Magufuli.

Bado CCM haina uhakika nani ni masapota wao na nani siyo kwenye zile nyomi za Kirumba au Ali Hassan Mwinyi Stadium maana na CHADEMA na ACT wamo.

Hebu wajaribu angalao watakapofika MBEYA waingie uwanja wa Soloine bila Wasanii, ndiyo watajijua hawana tofauti na CHAUMA ya Hashim Rungwe
 
We we ni zero brain!
Chama Kama CCM Hakuna ugumu wowote kinakutana nazo kwenye kampeni za mwaka huu!
Kwa taarifa yako nguvu ya CCM ni kubwa mno na ushindi unaotafutwa ni wa kuweka rikodi Mpya ya angalau 89% au 90%
Wewe na hao wanafiki wenzako mnaojifariji kwamba CCM hii inapata ugumu endeleeni kuamini hivyo!
Matokeo ya kura yatawashangaza mwaka huu!
Mkuu najua umekomment huku unalia au roho kukuuma, wajua kwa sasa ccm hawajui washike lipi na waache lipi? Mpaka viongoz wakuu hawampendi Jiwe

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli CCM inatumia nguvu kubwa sana na gharama ili kuonesha kuwa mgombewa wao anakubalika na watu wengi.

Leo asubuhi, watu wamepakiwa kwenye mabasi na malori toka Nzega, zaidi 100km, kwenda Tabora mjini. Lengo ni kuongeza idadi ya vichwa. Sijui nia ni kumdanganya nani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Chakubanga,Bashiru na Professor wa Jalalani wanajisikiaje huko waliko maana wao ndio walikuwa wapiga zumari wakuu kwa yesu wa Chatto
Hakika Jiwe muujiza wa Mungu ukimpitia akavuka salama,..watu wa kwanza kuwatimua atakuwa Bashiru,Polepole then huyu PhD wa majalalani.
 
We we ni zero brain!
Chama Kama CCM Hakuna ugumu wowote kinakutana nazo kwenye kampeni za mwaka huu!
Kwa taarifa yako nguvu ya CCM ni kubwa mno na ushindi unaotafutwa ni wa kuweka rikodi Mpya ya angalau 89% au 90%
Wewe na hao wanafiki wenzako mnaojifariji kwamba CCM hii inapata ugumu endeleeni kuamini hivyo!
Matokeo ya kura yatawashangaza mwaka huu!
IMG-20200921-WA0241.jpg
 
Nape, kinana, makamba na wengine waliobatizwa kwa maji ya moto watapiga kura ya siri hawawezi kumpigia jiwe
 
... halafu wanajikaanga na mafuta yao wenyewe, ... Bashiru hofu imemjaa kiasi cha kuanza kutoa vitisho kwa viongozi wenzie ndani ya chama ... mara leo kamvaa Nape, kesho ana Kingwangala, mara anawachimba biti CCM mkoa wa Kagera ... Amma kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza!
😅
👊 ✌✌✌💥
 
We we ni zero brain!
Chama Kama CCM Hakuna ugumu wowote kinakutana nazo kwenye kampeni za mwaka huu!
Kwa taarifa yako nguvu ya CCM ni kubwa mno na ushindi unaotafutwa ni wa kuweka rikodi Mpya ya angalau 89% au 90%
Wewe na hao wanafiki wenzako mnaojifariji kwamba CCM hii inapata ugumu endeleeni kuamini hivyo!
Matokeo ya kura yatawashangaza mwaka huu!
Na kama magufuli alishinda 2015 kihalali waulize hawa na ndicho mnategemea wizi wa kura safari hii hamuibi
tapatalk_1600679267530.jpeg
 
Niko Tabora hapa. Nimekuwa kwenye uwanja wa kampeni tangu kampeni zianze. Nimekuwa nikiwafuatilia na wagombea wengine wa Urais. Nimejiridhisha kuwa wagombea ambao bado wana 'pumzi' na upinzani ni wetu Dkt. John Pombe Magufuli na wa watani zetu wa jadi CHADEMA Tundu Lissu. Wagombea hawa wamekuwa gumzo kwenye uwanja wa uchaguzi; kwenye kampeni zao. Wanachuana kwelikweli.

kwa miaka mitano ya Rais Magufuli (mgombea wetu wa CCM), Watanzania wamekuwa 'wakidanganywa'. Wamekuwa wakidanganywa kimaneno na kimatendo. Wameaminishwa kuwa Dkt. Magufuli anakubalika kuliko yeyote aliyewahi kuwa Rais nchi hii. Amekuwa akiimbiwa mapambio yenye mbio kuwa ni mbunifu, msikivu, mnyenyekevu, mwerevu, mchaMungu, msemaukweli, mtekelezaji na kadhalika. Sifa zote tamutamu amemiminiwa Serikalini na chamani. Na Bungeni.

Ilitarajiwa, kwenye uchaguzi huu na kwakuwa Mgombea wetu ameyasema na kuyatenda yaliyo mema kwa kila mtanzania, Dkt. Magufuli atumie nguvu ndogo mno kuomba kuongezewa miaka mingine mitano ya Urais wake. Angeonesha tu mazuri yake na mazuri yake yangembeba. Huku kwenye uwanja wa kampeni za Urais, mambo ni moto. Mambo ni magumu kuliko saumu/swaumu lakini kupambana muhimu.

Ni kama watanzania hawajamuelewa. Wanataka mgombea wetu aanze upya kuwaeleza bila kuwaliza. Aanze upya kuwaahidi kabla ya Eid kuhsu nini hasa kitafanyika hasa katika kupunguza makali ya maisha yao. Hata wahudhuriaji kwenye kmikutano yetu 'hutengenezwa' na Serikali na chama katika sehemu husika. Majombo huchanga; wilaya huchanga na hata mikoa huchanga wahudhuriaji. Kwanini iwe hivi? Kwanini watanzania ni wagumu wa kuyaona tuliyoambiwa kwa miaka mitano?

Huku uwanja wa kampeni, nguvu kubwa inatumika. Kinyume na ilivyotarajiwa. Kinyume na ilivyosaidikiwa. Kinyume na tulivyoaminishwa kukubalika, kuuzika, kupendwa na kuaminiwa kwa mgombea wetu na kujiandaa na ushindi wa kimbunga bila kupiga ukunga. Mambo ni tofauti kama mkaa na taa; tofauti kama gari na wali. Kampeni zinaendelea, kamepni zimepamba moto na si za kitoto. Picha, mabango ya viwango na matangazo yenye ujazo yaongezwe. Hadi watanzania waelewe.

Mikwara yaweza kuleta hasira na hasara!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Tabora)
We are at the Crossroads,we have to decide&know where to turn to.Lissu for Presidency 2020.
 
Back
Top Bottom