Sasa ni dhahiri teuzi za Awamu ya Sita ni za wa Social Media

Sasa ni dhahiri teuzi za Awamu ya Sita ni za wa Social Media

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Kila zama na wakati wake.

Tukianza awamu ya Nne teuzi zake zilitegemea sana watu walio ndani ya chama na watu walio kuwa nje ya nchi (Wenye exposure zao).

Awamu ya Tano: Watu wenye PhD zao na Profs walilamba Teuzi.

Awamu ya Sita tunaona watu wanaoteuliwa ni watu wa social media. Mdau mmoja alinigusia kwamba huu ni wakati wakufungua account kwenye social media. Ukifanikia kuwa na followers wengi na kisha muunge mkono mama basi umeula.

Mama anasonekana kusoma sana kwenye mitandao na hata huu uzi naamini atausoma. Influensers wanaupiga mwingi sana. MaProf na MaPhDs tulieni kwanza. WaTZ mulioko Nje subirini kwanza.

Haadi wateuzi wake nao wako makini kuteuwa watu wa social media badala ya watalamu.

Tumeona Jafo akiteuwa watu wa social media kwenye mambo ya mazingira badala ya watalam

Tumeona Mwigulu akiteuwa watu wa social media kwenye mambo ya kodi badala ya wataalam.

Bado natafuta namna ya kumfungulia mwanangu account kwenye social media ili hadi 2028 awe amepata followers wengi ili ateuliwe na mama kabla mama hajatoka madarakani. Niakiamia 2028 atakuwa amehitimu chuo kikuu.. hivyo washindani wake watakuwa wachache.

Ni hayo tu.
 
Pro chato hamchoki tu kumsinitch mama, tulieni sindano iwaingie vizuri💉💉💉💉💉💉💊💊💊💊
 
Back
Top Bottom