Sasa ni Harmonize VS Zuchu

Huyu jamaa adeal na label yako ,kama kushikwa makalio wanashikwa wengine hajashikwa yy.

Hasi watoe watu kwenye mstari, meneja wake mwenyewe Chopa kasema ,msanii akivunja mkataba anatakiwa alipe 1bilion. Sasa sijajua kwamba mkataba aliokuwa nao meneja na yy inatofautiana japo wote wanaongoza label moja.

Au ndio kujikosha kwenye jamii na kutafuta huruma tu.
 
Kila siku nawaambia Harmonize hawezi kuwa relevant bila kutembelea jina la Diamond Platnumz aka Simba. Bado anajenga jina lake kwa kutumia jina la Diamond na ndio kinaenda kummaliza, kashindwa kutengeneza system yake.

Imagine ameshindwa ku-take responsibilities kwa lebo yake kufa kifo cha aibu, anataka kuamisha lawama kwa Diamond kuwa ni moja ya tatizo. Mwisho wa siku atie huruma azoe wale mashabiki maandazi.

Kimuziki na kifedha kwa sasa harmonize hamfikii Zuchu, ofcoz alipata bahati ya kuwa na jina kubwa kuzidi vijana wote waliotengenezwa na Diamond na kuwapa ustaa na pesa nyingi ila jahazi ndio linazidi kuzama day after day.

Tuliposema atanyooshwa na Mbosso Khan kwenye EP Vs Album kuna mtu aliamini? Nafikiri mnaona sasa kinachoendelea mtaani.

Maji na mafuta hayakai pamoja hata tulazimishe namna gani.
 
Kitu pekee kinachomfanya awe relevant mpaka sasa kwenye game ni haters wa Diamond, ameamua kuendelea kutembelea upepo huo kwani ndiyo mbinu iliyomlinda Kiba kwa muda mrefu.
Namuona Inspeka Harun/Juma Nature/Afande Sele/Dudu Baya, yaani huyu dogo Mmakonde ndani ya miaka michache ijayo atakuwa kama hawa kaka zake walivyo sasa.
 
PR wa wasafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…