Haya Sheikh Yahaya. Na unaweza kutabiri utakufa lini?Au uganga wa mpira tu.Mwisho kabisa wa ligi atakaechukua Kombe anajulikana.
Hakuna asiyeujua wimbo wa Darasa unaoitwa Muziki,umekuwa maarufu sana namna ulivyopokelewa kila kona ya nchi yetu..
Sasa basi baada ya Yanga jana kuanza mzunguko wa pili kwa kishindo kwa kuichapa team ya JKT Ruvu 3-0 na kukwea kileleni sasa umefika wakati wa Cartoon hii (inayoonyesha kuporomoka kwa mnyama kutoka kuongoza Ligi mpk kwenye nafasi waliyoizoea) kuwa maarufu kama wimbo Muziki wa Darasa.View attachment 447732 Tuvuteni subira!
Sisi utabiri wetu kwenye soka tu, tunakutabiri kutokana na uwezo wako uwanjani. Ukiwa na beki nzuri, streka wakali, walishaji wenye viwango, mwalimu na kipa mzuri basi tunakutabiria.Haya Sheikh Yahaya. Na unaweza kutabiri utakufa lini?Au uganga wa mpira tu.
Bhaelezee huyoSisi utabiri wetu kwenye soka tu, tunakutabiri kutokana na uwezo wako uwanjani. Ukiwa na beki nzuri, streka wakali, walishaji wenye viwango, mwalimu na kipa mzuri basi tunakutabiria.
-Kama utabiri wa hali ya hewa mwezi huu kutanyesha mvua kali.
Hao unaowataja hawakucheza na Ndanda,Mbeya City na Stendi United.Au mechi hizo mlichezesha wabeba vifaa?Sisi utabiri wetu kwenye soka tu, tunakutabiri kutokana na uwezo wako uwanjani. Ukiwa na beki nzuri, streka wakali, walishaji wenye viwango, mwalimu na kipa mzuri basi tunakutabiria.
-Kama utabiri wa hali ya hewa mwezi huu kutanyesha mvua kali.