Sasa ni muda wa cartoon hii kubamba kama "Muziki" ya Darasa

Sasa ni muda wa cartoon hii kubamba kama "Muziki" ya Darasa

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
Hakuna asiyeujua wimbo wa Darasa unaoitwa Muziki,umekuwa maarufu sana namna ulivyopokelewa kila kona ya nchi yetu.

Sasa basi baada ya Yanga jana kuanza mzunguko wa pili kwa kishindo kwa kuichapa team ya JKT Ruvu 3-0 na kukwea kileleni sasa umefika wakati wa Cartoon hii (inayoonyesha kuporomoka kwa mnyama kutoka kuongoza Ligi mpk kwenye nafasi waliyoizoea) kuwa maarufu kama wimbo Muziki wa Darasa.
IMG-20161218-WA0003.jpg
Tuvuteni subira!
 
Mchovu tu wewe aliyeporomoka nani sasa?Analiwa mwingine nyinyi mmekalia kukata viuno dirishani.
 
Hakuna asiyeujua wimbo wa Darasa unaoitwa Muziki,umekuwa maarufu sana namna ulivyopokelewa kila kona ya nchi yetu..
Sasa basi baada ya Yanga jana kuanza mzunguko wa pili kwa kishindo kwa kuichapa team ya JKT Ruvu 3-0 na kukwea kileleni sasa umefika wakati wa Cartoon hii (inayoonyesha kuporomoka kwa mnyama kutoka kuongoza Ligi mpk kwenye nafasi waliyoizoea) kuwa maarufu kama wimbo Muziki wa Darasa.View attachment 447732 Tuvuteni subira!

Cartoon nimeipenda ha ha ha ha ha ha
 
Haya Sheikh Yahaya. Na unaweza kutabiri utakufa lini?Au uganga wa mpira tu.
Sisi utabiri wetu kwenye soka tu, tunakutabiri kutokana na uwezo wako uwanjani. Ukiwa na beki nzuri, streka wakali, walishaji wenye viwango, mwalimu na kipa mzuri basi tunakutabiria.
-Kama utabiri wa hali ya hewa mwezi huu kutanyesha mvua kali.
 
Bhaelezee huyo
 
Hao unaowataja hawakucheza na Ndanda,Mbeya City na Stendi United.Au mechi hizo mlichezesha wabeba vifaa?
 
Yanga mmecheza mechi moja ya mzunguko wa pili sisi tukawa hatuja cheza, sasa nashangaa unaposema hivyo wakati sisi hiyo mechi tulikuwa hatujacheza ili tulingane, anyway wewe inaonekana hujui soccer
Nafikiri matokeo umeyaona leo
Mmekaa pale juu kwa masaa 24 kama kifurushi cha Tigo basi.
Baada ya hapo wenye nyumba tukarudi,
Sasa mmenyamaza kimya kama
Mwanamke alie fumaniwa.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom