Sasa ni muda wa kubadilisha 'likes' kuwa hela

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nina 'likes' nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii, lakini hizo 'likes' hazinisaidii chochote katika utatuzi wa changamoto zangu za kimaisha.

Nini kifanyike ili hizo 'likes' zibadilike na kuwa hela? Mfano mtu aki-'like' mada fulani, akatwe angalau 1000, si tutakuwa matajiri wakuu?

Najaribu kufikiria, kwa hizi 'likes' nilizonazo nitakuwa na milioni kadhaa hivi.

Njooni kwa mjadala​
 
Hivi Elon anawezaje kutoa maokoto alafu hawa JF wanashindwa.
 
Back
Top Bottom