Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kama hao wote waki-like tayari unakuwa bilioneaKuna raia wa 1m like
Najaribu kufikiria, kuna mitandao mingine wanakuzuia kuweka 'content' ya mwingine kwa kigeza utapata 'likes' nyingiRaraa reree atatutajirisha
Unakuwa kama uko jukwaani unaomba kuraAu Wana I'd 10 kufika like 1m sio mchezo
Tutumie sayansi gani ili pesa ipatikane kwa haya maudhui yetu?Pesa ingekuwa rahisi namna hiyo wala isingekuwa na thamani
Wa namna hii, mwisho wa siku wanapata manufaa gani?Sio pw watu wanafungua account ya kike ili apate likes kmmmk
vijinga tuuUtapigwa ban Kuna mods ni visenge humu
Hivi Elon anawezaje kutoa maokoto alafu hawa JF wanashindwa.Nina 'likes' nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii, lakini hizo 'likes' hazinisaidii chochote katika utatuzi wa changamoto zangu za kimaisha.
Nini kifanyike ili hizo 'likes' zibadilike na kuwa hela? Mfano mtu aki-'like' mada fulani, akatwe angalau 1000, si tutakuwa matajiri wakuu?
Najaribu kufikiria, kwa hizi 'likes' nilizonazo nitakuwa na milioni kadhaa hivi.
Njooni kwa mjadala