Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Katika kile kinachoitwa ilani ya uchaguzi hakuna kitu Cha kimkakati hata kimoja zaidi ya vitu vyepesi ambavyo vimeimbwa toka 2021 Hadi Leo.
Hakuna mradi wowote wa kimkakati,hakuna chochote kuhusu kinachoweza walau kutufanya tushindane na jirani zetu na Dunia. Mambo ni yale yale ajira za walimu(masikini walimu wameokotwa), ajira za wakunga,kujenga soko,kununua matrekta,kufanya majaribio ya bima na si kuwa na bima kwa wote. Yaani tumekuwa wa kufanyiwa majaribio tena sisi utafikiri tufanya majaribio ya chanjo ya Corona.
Hivi Kuna mtu anafikiri kabisa kwamba huyu ni Rais anafaa kwenda kwa miaka 5? Kweli ? Watanzania mawe yatawacheka.
Kwenye ilani hawana kitu Cha maana zaidi ya vile vyepesi tu. Juzi tu hapa walianzisha BBT kwenye kilimo, wameshindwa na kufisadi hela za watanzania,Leo wanakwambia matrekta. Hawa ? Labda kung'arisha macho tu.
Ni wakati wa matajiri kuomba masikini baada ya kuwapa kinachofuata ni kipigo Cha mbwa Koko. Kazi kwenu watanzania kuuza au kubakiza nchi.