sasa ni rasmi: babu wa samunge ni bilionea!!

Mbona umekazania sana visiwani, ndio mnatafuta soko jipya nini mkuu wangu...! Ah ah ah ah

Nikiangalia avatar yako na jinsi unavyo mpiga debe huyo babu... Ah ah ah ah mkuu cheo cha sales & marketing Director wa Mwasapile & Co. kinakufaa sana mkuu wangu.
 


wajemeni mmesema sio dawa inayotibu,bali ni IMANI, kwa nini anayeumwa FIGO na ana IMANI kuwa dawa ya babu itamtibu ASIPONE?
 

...this is what im talking about,thanks SMU wanaoelewa wamekuelewa!
 

Wagonjwa 8,460 kwa masaa 24 is nothing kama "Babu" na side-kicks wake wanaweza kuhudumia Wagonjwa over twice that figure (i.e., Wagonjwa 17,065), and presumably kwa chini ya masaa 24.)
 
too low!

kwa hiyo kunywa pepsi ndiyo kipimo cha kupona sukari?

hata kama umesoma shule za kata, this is too low!
Hayo maneno tumeweka kwa wenye akili ya kujua kisukari maana yake nini, kama hujui hulazikimiki kuonesha ujinga wako. Umseshindwa kuona, waliombishi ndio waliokubali kwamba, kwa kunywa sona amepona. Ni watu wanaojua tatizo lake. Si wewe unaekurupuka kusoma maili na kuweka majibu.

Pia, tuelewe kwamba huyu babu alikuwa anatibu watu 2,000 kwa siku. Piga hesabu kwa miezi aliyohudumia, utabaini milioni tatu bado.
 

Miye siyo miongoni mwa wafuasi wa babu....lakini na wewe dada Judith maneno yako sasa!!!
Mbona yamekaa ki-mwingira-mwingira vile!??
 
Kwa rate ya Wagonjwa 17,000 kwa masaa 12, "Babu" atatibu Wagonjwa milioni 3 kwa siku 88 au miezi 3.
 
Miye siyo miongoni mwa wafuasi wa babu....lakini na wewe dada Judith maneno yako sasa!!!
Mbona yamekaa ki-mwingira-mwingira vile!??
MISS JUDITH=MR JUDITH
SHE=HE
MISS JUDITH=MAN
I hv proved beyond reasonable doubt tht MJ is a man who just tries tirelessly to poke fellow men and women, with a purpose of amusing himself.
I too prescribe a male/female hormonal balance within this so called MISS JUDITH, and thats why he can beautifully play as a woman too.
 
wachangiaji wanachekesha sana...mwingine kajitundika mipepsi ofisini,mwingine kavujwa na midamu..mwingine anko angu kakurupuka...ilmradi tu wamechangia. Sasa Asprin kwa mfano huyo jamaa wa PakaJimmy akiyevuja damu mbona kapona ilhali ugonjwa wake haujaorodheshwa kwenye list ya babu??hii si ndio imani anayoizungumzia Pauline, sasa ndugu zetu dawa ya babu haijasaidia.
 
Sasa kama imani peke yake ndio yenye kuponyesha... si wanywe tu panadol kisha wawe na imani ya kupona kaswende, HIV, maralia, kisosono, na maradhi mengine... Tatizo ni nini sasa. Ah!

Kuna mwingine uko nimesoma kuwa ati alikufa kwa siku saba mpaka akaoza, akajikuta yupo peponi, akakutana na malaika kwenye geti la peponi akamkaribisha na kumuonesha mji mzuri sana, kisha akapelekwa kwa watu wa peponi na kuonyeshwa watu wa motoni, kisha akakutana na Yesu akamtembeza kidogo kisha akampa kitu akimeze yaani biblia nzima, radha yake kama chokoleti... Sasa hivi naye ana hubiri na kuonya watu.
 
Hesaabu zenyewe ziko hivi:

Hadi leo amehudumia watu 3,000,000/- x 500 = 1,500,000,000/-!!

Hello Judy;

I am certain that kuna makosa katika figure hiyo. Niliyosikia mimi ni wagonjwa laki 3.

Haiwezekani wakawa Million 3 kwa sababu zifuatazo: Assume Bubu katibu wagonjwa kwa miezi 6:

Ina maana kila mwezi ni wagonjwa 3 M/6 = 500,000
Kila siku wagonjwa: 500,000/30 = 16,666
Kila saa wagonjwa: 16,666/24 (assume babu anatibu 24 hours) = 694
Kila dakika wagonjwa: 694/60 = 11.

Je hii ni kweli?
 

Uelewe kuwa huyo so-called "Babu" anagawa kikombe cha dawa tu (and not so much "kutibu" kama Daktari afanyavyo Hospitalini.) Kama ni kugawa "dawa", sioni kwa nini ashindwe kuwapatia "kikombe" Wagonjwa 23 au hata zaidi kwa dakika (maana ni wazi hawezi kugawa dawa kwa masaaa 24.)
 
Dah, mimi sio Pro-Babu. Ila nina ka-ushuhuda kidogo, kuna kaka yangu wa damu alienda Samunge pamoja na dadangu kama miezi 2 iliyopita. Braza alikuwa na kifafa, sista alikuwa akirukwa na akili kila baada ya muda flani. Kilichotokea afta cicoumber ni kuwa bro hajawahi tena kuanguka kifafa(sio ushahidi kuwa amepona), lakini sista alirudiwa na ugonjwa wake vile tu alivyorejea Arusha Mjini, akaugua kama wiki mbili hivi, sasa yuko poa ingawa si rahisi kusema kuwa amepona.
 
Kwa mahesabu yangu bado hajafikia kuwa bilionea bali ni milionea maana 3,000,000 x 500= 1,500,000,000 ambayo kwa zile 300 anazopeleka kanisani inamaana kanisa limeshapata 900,000,000 wakati wasaidizi wake wakipata 200,000,000 na yeye kuambulia 300,000,000 (mmh!, si haba aisee)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…