sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Huyu ni tilionea, mbaya zaidi anatumia neno la Mungu kukomba mpaka vito vya thamani vya waumini wake!Kama babu atakuwa bilionea what about Askofu Kakobe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni tilionea, mbaya zaidi anatumia neno la Mungu kukomba mpaka vito vya thamani vya waumini wake!Kama babu atakuwa bilionea what about Askofu Kakobe?
Mbona umekazania sana visiwani, ndio mnatafuta soko jipya nini mkuu wangu...! Ah ah ah ahKiongozi,
Hapotezwi mtu hapa.
Kwann hamuongelei wanaopona, mnatafuta tu discrepancies zisizo na kichwa wala kiwiliwili?
Bosi wangu,
Mimi sio P/O wa Mwasapile, bali nimeona kwa macho yangu watu waliokuwa taabuni kwa miongo kadha, na sasa wamekuwa wazima.
Ukipata muafaka wa kwenda mkuu wangu niconsult, utafurahi, na utakuwa balozi wa babu visiwani.
Mchungaji Zakaria naye aliungwa mkono sana tu, ila baada ya kumkataa babu, naona amepata wapinzani wapya.Kama babu atakuwa bilionea what about Askofu Kakobe?
Mchungaji Zakaria naye aliungwa mkono sana tu, ila baada ya kumkataa babu, naona amepata wapinzani wapya.
Figo haimo katika orodha ya magonjwa anayotibu babu....Mwambie ankal wako alikurupuka! Hebu soma hii nukuu hapa chini:
Magonjwa sugu yanayodaiwa kutibiwa na kikombe hicho kinachokwenda na imani zaidi ni kisukari, shinikizo la damu, pumu, saratani na ukimwi.
Wagonjwa 3 milioni! Kwa analytical review ya haraka haraka, hizi hesabu naona kama zina walakini!
Kama tukiassume huyu mzee hapumziki kabisa, then katika kila dakika moja anahudumia wagonjwa 6, kwa saa moja atahudumia wagonjwa 360 na kwa siku (masaa 24) atahudumia wagonjwa 8,640, na hivyo anahitaji siku 347 (karibu mwaka mmoja!) kuhudumia wagonjwa milioni tatu.
Koba! r u siriasi mkuu!Osama is dead,what is your take on this Mr Xpaster?
Wagonjwa 3 milioni! Kwa analytical review ya haraka haraka, hizi hesabu naona kama zina walakini!
Kama tukiassume huyu mzee hapumziki kabisa, then katika kila dakika moja anahudumia wagonjwa 6, kwa saa moja atahudumia wagonjwa 360 na kwa siku (masaa 24) atahudumia wagonjwa 8,640, na hivyo anahitaji siku 347 (karibu mwaka mmoja!) kuhudumia wagonjwa milioni tatu.
Wagonjwa 8,460 kwa masaa 24 is nothing kama "Babu" na side-kicks wake wanaweza kuhudumia Wagonjwa over twice that figure (i.e., Wagonjwa 17,065), and presumably kwa chini ya masaa 24.)Takwimu zilizotolewa jana na mmoja wa wasaidizi wa Babu, Jackson Dudui, zinaonyesha bado wanategemea idadi kubwa ya wagonjwa kuendelea kumiminika kijijini hapo kufuata kikombe hicho kinachotibu magonjwa sugu na kwamba juzi pekee wagonjwa 17,065 walipata huduma hiyo.
daah no comentSubiri wakati wa mgao!hapa ndio tutasikia babu kaua wangapi!
Hayo maneno tumeweka kwa wenye akili ya kujua kisukari maana yake nini, kama hujui hulazikimiki kuonesha ujinga wako. Umseshindwa kuona, waliombishi ndio waliokubali kwamba, kwa kunywa sona amepona. Ni watu wanaojua tatizo lake. Si wewe unaekurupuka kusoma maili na kuweka majibu.too low!
kwa hiyo kunywa pepsi ndiyo kipimo cha kupona sukari?
hata kama umesoma shule za kata, this is too low!
pole zake anko na familia yake na nyie nduguze wa karibu mnaomuuguza.
hapa JF,
ukipona=tiba ya babu ni ya kweli
usipopona=huna imani
ukifa kwa ugonjwa uleule uliotibwa na babu=babu hazuii kifo
gharama ya 500/=hizo ni ndogo sana ukilinganisha na akina ndodi (ingawa zimemfanya bilionaire ndani ya miezi michache)
nk
nk
mmh, ngoja niishie hapa wapenzi wake wasije wakanivamia hapa nikaharibu maombi yangu bure.
amani iwe kwenu
Glory to God
MISS JUDITH=MR JUDITHMiye siyo miongoni mwa wafuasi wa babu....lakini na wewe dada Judith maneno yako sasa!!!
Mbona yamekaa ki-mwingira-mwingira vile!??
Hesaabu zenyewe ziko hivi:
Hadi leo amehudumia watu 3,000,000/- x 500 = 1,500,000,000/-!!
Hello Judy;
I am certain that kuna makosa katika figure hiyo. Niliyosikia mimi ni wagonjwa laki 3.
Haiwezekani wakawa Million 3 kwa sababu zifuatazo: Assume Bubu katibu wagonjwa kwa miezi 6:
Ina maana kila mwezi ni wagonjwa 3 M/6 = 500,000
Kila siku wagonjwa: 500,000/30 = 16,666
Kila saa wagonjwa: 16,666/24 (assume babu anatibu 24 hours) = 694
Kila dakika wagonjwa: 694/60 = 11.
Je hii ni kweli?