Sasa ni rasmi ili Taifa Stars ifuzu AFCON Kesho ' Babu Mtaalam ' kutoka Pemba kasema Kikosi Kipangwe hiki kwa dakika zote 90 Kisibadilike

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Aishi Manula
2. Ramadhan Kessy
3. Abdi Banda
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Mudhathir Yahaya
9. Shaban Chilunda
10. John Boko
11. Shiza Kichuya

Ni huyu huyu ' Babu Mtaalam ' wangu kutoka Pemba ndiyo alikuwa akinihakikishia mechi zote za Simba SC dhidi ya Yanga SC na matokeo yake huwa kama vile ambavyo huniambia na hajawahi Kukosea hata siku moja.

Narudia tena Kikosi kisibadilike hadi Filimbi ya mwisho kwani kimekaa vizuri kwa Nyota ya Kesho na mambo mengine yote ya ' Kitaalam / Kiushirikina ' ambao ndiyo ' Utamaduni ' wetu nchi nyingi za Kiafrika.

Kikicheza hiki hadi mwisho kuna Magoli ama 3 kwa 1 au 2 kwa 0 Taifa Stars yetu itashinda Kesho na hatimaye kujiweka katika mazingira mazuri ya Kufuzu AFCON mwakani baada ya ukame wa miaka 38 ya Kutoshiriki.

Kazi kwenu TFF na wale mliopo na Timu huko Lesotho msiseme GENTAMYCINE sikuwaambieni.

Nawasilisha.
 
Hapo toa Kessy weka Banda no 2 alafu weka Kapombe no.3 baaaaasi

Unaniaibisha Mkuu yaani hujui kabisa kwamba Kapombe amekuwa ' ruled out ' kuwa hatocheza kwasababu ya ' injuries ' alizozipata juzi? Sasa kama Wewe uko tu hapa Mjini huna taarifa muhimu kama hii je wale waliko huko Vijijini Kyaka Nkunde ,Ikupilipa Nkoba na Mbwinde wao wasemeje?
 
Kumbe kapombe majeruhi! Hapo no.2 weka Nyoni alafu 4 weka Agrey Morris. Wasijichanganye kumpanga Kessy na Gadiel Michael.

Nimeweka Kikosi cha ' Kimkakati ' cha Ushindi na chenye Nyota ya Ushindi kwa mechi ya Kesho kama ambavyo nimeelekezwa na huyo ' Babu Mtaalam ' hivyo hao wengine unaonitajia Wewe hapa subiri mechi zingine utawapanga ila kwa mechi muhimu ya Kesho dhidi ya Lesotho Timu ikipangwa hivyo tutashinda na Kufuzu kwa mara ya pili huko AFCON baada ya Kukosa Kushiriki kwa miaka takribani 38.
 
mtoe Kessy
 
Hichi kikosi kibovu kitapigwa hadi na misosi fc
 
Kumbe kapombe majeruhi! Hapo no.2 weka Nyoni alafu 4 weka Agrey Morris. Wasijichanganye kumpanga Kessy na Gadiel Michael.
Hili kosa la kumchezesha gadiel namba 11 alilifanya tuliyokua camp verde nina wasi was atalirudia tena kesho.
 
Kwan mbwana samatta Kesho hatokuwepo jaman??
 
Namba mmoja hapo mweke kakolanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…