Sasa ni rasmi kuwa Majizo wa EFM na Diamond wa Wasafi FM wameingia Vitani

Wanachokifanya ni u punguwani tu. Talenti zimejaa kibao mtaani. Kwani lazima awe kitenge?!
 
Majizzo ameleta mapinduzi makubwa upande wa radio hili halina upinazni.Vita sio kati ya majizzo na Diamond bali ni vita ya Clouds media group & Wasafi dhidi ya E .FM .

Vita ya majizzo ni kubwa anapigwa mande na wasafi na clouds .La umuhimu mpambano uendelee tuzidi kupata fleva mpya kwenye media.
 
Kwa mtu kama kitenge sioni kama nu big deal,alikuwa efm akaenda wasafi akarudi efm akarudi wasafi kama kawaida yake,naona kapata mshirika mweingine kwenye usalama wa taifa.
 
Huyu mganga wa kitenge anajua sana mwenye namba zake anitushie pm au kama maulid uko umu em fanya kunitupia namba za mganga pm
 
Mkuu nilikushauri na wewe pia uhame pale IPP MEDIA. Hao watangazaji sisi tunaowaita maarufu sio kwamba n kweli. Ila tu Kuna biashara zingine zinafanyika so wanachukuliwa Kwa ajili ya hiyo.

Ndio maana huon wale wenye IQ kubwa wakisumbuliwa mfano Charles William, ambangile, na farhia middle, deogratius rweyunga, maulid kambaya n.k
 
hivi kuna watu hadi leo hii bado wanasikiliza radio? huo muda wanaotoa wapi kama tv tu sipati muda kuangalia?
Ina tegemea na harakati zako na si ajabu ni zile za kumnyenyekea boss nguvu nyingi ujira mdogo. Unakosaje muda wa kusikilza habari maelezo na uchambuzi. Unaweza ona ni ujanja kusema hupati muda wa kusikiliza redio ila ww ni mshamba tu hujui dunia inaendaje
 
hakuna mtu anaweza kumliipa mtu milioni 9 aje kusimulia tu watu hadithi, zinazoendelea ni kiki tu si ajabu after two years wanarudi EFM maisha yao yanaendelea...
 
Naona tunatoka kwenye reli taratiibu ila wameona watuwahishe
 
kwahiyo unaamini kila mtu ameajiriwa kama wewe
 
kwahiyo unaamini kila mtu ameajiriwa kama wewe
Ww fala mm sijaajiriwa na wala sitarajii kuajiriwa siwezi kuwa mbwa wa mtu mm naajiri wajinga kama nyie nawalipa na kuwafundisha maisha. Ajira ni nyoko tu kwangu ndio maana napata muda wakupata habari ww unaekosa muda wa habari na bado unakipato duni endelea kuwa mbwa wa boss endelea kunyenyekea wanaume huna tofauti na mwanamke anaewekwa mbupu ndio apate pesa
 
sasa kama wewe sio mjinga kwanini unaamini kila unayebishana naye ameajiliwa. ngoja maisha yawanyooshe hadi hasiza ziwatoke zooote. tafuta pesa upunguze hasira.
 
sasa kama wewe sio mjinga kwanini unaamini kila unayebishana naye ameajiliwa. ngoja maisha yawanyooshe hadi hasiza ziwatoke zooote. tafuta pesa upunguze hasira.
Kwa uchunguzi wangu wote wanaosema tafuta hela wao hawana na wanaishi kwa mashemeji. Umesafisha viatu vya shemeji au unachati tu mtandaoni
 
Waach wanaccm wapigane wenyewe kwa wenyewe sisi hayatuhusu, hawajawahi kusimama kutetea maslahi ya umma sasa naona wamegeukana wenyewe wanapigana vita baridi
 
Kwa uchunguzi wangu wote wanaosema tafuta hela wao hawana na wanaishi kwa mashemeji. Umesafisha viatu vya shemeji au unachati tu mtandaoni
acha kuchunguza wenzako, tafuta pesa bro. acha visingizio.
 
sasa kama wewe sio mjinga kwanini unaamini kila unayebishana naye ameajiliwa. ngoja maisha yawanyooshe hadi hasiza ziwatoke zooote. tafuta pesa upunguze hasira.
Na kama hujaajiriwa umejiajiri basi bado unahangaikia pesa sio pesa ikuhangaikie uwe umeajiri watu na ukosem muda wa kupata habari hata kama sio redioni mubashara zipo redio mtandaoni au bundle nalo pasua kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…