Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
nimekwambieni, acha kujadili watu, tafuta pesa upunguze hasira. au ndo afya ya akili, maumivu yakizidi nenda kwa wanasaikolojia wakusaidie.Na kama hujaajiriwa umejiajiri basi bado unahangaikia pesa sio pesa ikuhangaikie uwe umeajiri watu na ukosem muda wa kupata habari hata kama sio redioni mubashara zipo redio mtandaoni au bundle nalo pasua kichwa