Yesu Anakuja JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 12,675 Reaction score 25,924 Apr 21, 2023 #41 92 jerrie said: Na kama hujaajiriwa umejiajiri basi bado unahangaikia pesa sio pesa ikuhangaikie uwe umeajiri watu na ukosem muda wa kupata habari hata kama sio redioni mubashara zipo redio mtandaoni au bundle nalo pasua kichwa Click to expand... nimekwambieni, acha kujadili watu, tafuta pesa upunguze hasira. au ndo afya ya akili, maumivu yakizidi nenda kwa wanasaikolojia wakusaidie.
92 jerrie said: Na kama hujaajiriwa umejiajiri basi bado unahangaikia pesa sio pesa ikuhangaikie uwe umeajiri watu na ukosem muda wa kupata habari hata kama sio redioni mubashara zipo redio mtandaoni au bundle nalo pasua kichwa Click to expand... nimekwambieni, acha kujadili watu, tafuta pesa upunguze hasira. au ndo afya ya akili, maumivu yakizidi nenda kwa wanasaikolojia wakusaidie.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Aug 19, 2024 #42 Aiseee Majizzo wanampukutisha ,watangazaji wake wote wazuri wanamkimbia.
D Don Masanja JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 273 Reaction score 251 Jan 11, 2025 #43 Watu wanaondoka kwasababu ya maslai