Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Nyerere alikuwa rais wa kawaida sana, Narudia Tena wa kawaida sana..
Sema tu alitengeneza hofu kwa Raia..
Kuna vitu vingine kijana unahitaji kuvifatilia na kufanya studies nyingi sana utakuja kunielewa
Hakuna kitu kama hicho. Tena tema mate chini. Wa kawaida ni huyo jiwe. Tena chini ya kawaida.
 
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.

Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana la Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu.

Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hela za umma ungekuwa mdogo sana.

Hadi 2030 tutasikia mengi.

Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mstaafu alilia.
A wapi
 
Back
Top Bottom