Sasa ni rasmi Mechi ya Simba na Plateau haitoonyeshwa Runingani kwa Figisu za Wenyeji hivyo nawaomba Simba niwe Mkuu wa Kamati ya Kulipiza Kisasi

GENTAMYCINE ukiona wanakataa mpira kuwa live ujue refa pia wamemnunua so jiandaeni kisaikorojia kwa matokeo yoyote yatakayojitokeza
 
kamati ya ufundi simba bila shaka italipiza fitina hiyo
Mimi GENTAMYCINE nawaomba Simba SC wanikabidhi Mechi hii tu Mkuu kwani nina Hasira zangu binafsi na Wanaijeria hivyo nataka niwamalizie.
 
Jiandaeni uwanjani mkacheze kwa juhudi , Ayo Mambo ya nje ya Uwanja hayata wasaidia,.Enzi za Enyimba mlikua mkifanya figusu na hawajawahi kuwafunga chini ya goli tatu apo apoTaifa.
Taifa gani unazungumzia?
Enyimba hajawahi kuishinda Simba ndani ya Tanzania. Alichezea 2—1, ya mwisho ilikuwa sare.
 
Braza kuna siku ulipga mkwara mmoja nahisi kwa jinsia ke!
Ule mkwara nilichukua robo tu nkaupiga home aisee wamenyooka..

Ubarikiwe
Nimecheka sana Mkuu wangu hebu nikumbushe kwani nimeshausahau. Napiga Mikwara mingi tu hapa JF mpaka mingine huwa ninaisahau haraka.
 
dalili za watu kunyeshewa mvua za magoli, wameanza kujihami kwa visingizio.
 
Hivi ni nani anamkaza huyu Bibie? Tuanzie hapa Kwanza kwani kuna Stori moja hivi nimeisikia lakini bado Kidume ninaendelea Kuichakata Kwanza.
 

CAF Champions League: Lalong Optimistic of Victory for Plateau United​

nelson U
29.11.2020

Advertisements

Governor Simon Lalong of Plateau, has expressed optimism that Plateau United FC will be crowned CAF Champions in the 2020/2021 season.

The governor made this known on Wednesday, when he visited the team during their training session at the Zaria Road Stadium in Jos, Plateau State Nigeria.

The boys from Plateau will be playing host to Simba FC football club of Tanzania in Jos, on Sunday, 29 November, 2020.

While addressing the players and technical team, Governor Lalong said he was at the Zaria Road stadium to ascertain their level of preparations and also encourage them to put in their best for a victory come sunday.

“I am here first of all to congratulate you for winning the Nigerian Premier League for the second time which qualifies you to represent Nigeria at the CAF champions League. I have no doubt that you will bring home the trophy having leant from the mistakes of the past and made serious improvements” he said.

Lalong said the team has all it takes to win the match on Sunday and eventually go ahead to win the tournament. He promised that the State Government will provide all moral and logistics support to the team to ensure they are motivated to perform well.

Governor Lalong according to a statement by his Director of Press & Public Affairs, Makut Simon Macham, assured the team that a new bus will be delivered to the team this week to enhance their comfort and movement. He promised to be personally present at the stadium to cheer up the team to victory.
The team during the Wednesday’s training session
In his remark, the General Manager of Plateau United, Mr. Pius Henwan informed the Governor that the team has been vigorously training for the match and was ready to put in their very best in the CAF champions league and the national league.

He said the Government’s gesture to the club has been a great booster that has seen them make progress over time.
The General Manager also appealed for intervention of the Governor in getting some fans to witness the match in line with the COVID-19 protocols.

Also responding, the Chief Coach of Plateau United Abdul Maikaba, described the Governor’s visit as a tonic that will motivate them for victory. He appreciated the intervention of the Governor at various times towards improving the welfare of the team. He said Plateau United is the only team in Nigeria that receives salaries regularly and before the end of the month.

Governor Lalong was accompanied by his Chief of Staff Noel Donjur and the Commissioner for Sport Victor Lapan.
The governor and his entourage also inspected renovation work at the dressing rooms and conveniences in the stadium
www.switchnigeria.com
 
Mimi GENTAMYCINE nawaomba Simba SC wanikabidhi Mechi hii tu Mkuu kwani nina Hasira zangu binafsi na Wanaijeria hivyo nataka niwamalizie.
pamoja nakufanya fitna, wataambulia kipigo kwao na hapa bongo.
wamenikera sana hawa pleti la ubwabwa
 

29 November 2020​

Plateau United Vs Simba Sc Today 29th November, 2020​

  • VENUE: Rwang Pam Stadium stadium
  • CITY: Jos city,
  • COUNTRY: Nigeria
  • COMPETITION: CAF Champions League, Qualification – Africa
 
Nimesoma wasifu wa timu hii bingwa wa ligi kuu ya Nigeria kwa miaka 2 mfululizo. Ni timu inayomilikiwa na serikali ya jimbo la Plateau nchini Nigeria mfano kwa Tanzania tuilinganishe na timu ya KMC ya manispaa ya Kinondoni ya mkoa wa Dar es Salaam au Dodoma Mji .

Hivyo sioni kwanini timu yenye mashabiki nchi nzima, kikosi kipana na bajeti ya mabilioni ya shilingi ishindwe na timu inayomilikiwa na serikali chini ya uongozi wa jimbo wa Plateau ambapo hali yake ya hewa ni nzuri siyo joto sana ni kama Iringa.

Tufuatilie hili gemu na kuona timu hii ya mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam yenye washabiki mamilioni ndani na nje ya nchi ya Tanzania leo watafanya nini ktk mechi ugenini baada ya timu nyingine ya mkoani ya Namungo toka Lindi kuanza michuano yake vizuri kimataifa hapo jana kwa ushindi wa mabao 3 dhidi ya timu ya kutoka South Sudan ya Al Rabita FC.
 
Mkuu vipi SuperSport ya hapa bongo watarusha hiyo mechi live?au ni kwa SuperSport ya South Africa peke yake?
 
Kaka tumekupa kitengo hicho tusubiri maelekezo yako tu, pia napendekeza timu yao ishukie hapa bariadi, afu ndio mtawapeleka huko dar.
Wananchi hatutakubali hilo, mambo ya kupuliza madawa kwenye vyumba pia tuachane nayo. Mpira upigwe uwanjani bila ujanja ujanja, wa kushinda ashinde, wa kushindwa ajipange upya.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wananchi hatutakubali hilo, mambo ya kulipa madawa kwenye vyumba pia tuachane nayo. Mpira upigwe uwanjani bila ujanja ujanja, wa kushinda ashinde, wa kushindwa ajipange upya.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mbona Uchawi mkubwa wa Yanga unajulikana ni Kuchukua Maiti Mochwari na kwenda nayo UIwanjani na baada ya Game mnazirudisha? au hulijui?
 
Jiandaeni uwanjani mkacheze kwa juhudi , Ayo Mambo ya nje ya Uwanja hayata wasaidia,.Enzi za Enyimba mlikua mkifanya figusu na hawajawahi kuwafunga chini ya goli tatu apo apoTaifa.
Mkuu umenikumbusha yule mshambuliaji wa Enyimba Steven Wogu. Pengine mechi hizi zitatuletea jina jingine maarufu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wananchi hatutakubali hilo, mambo ya kupuliza madawa kwenye vyumba pia tuachane nayo. Mpira upigwe uwanjani bila ujanja ujanja, wa kushinda ashinde, wa kushindwa ajipange upya.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mnashindwa nini na nyie kupuliza mkachukua ubingwa wa tz mkaenda kuwakilisha huku,
Nyie kaeni humu humu tu, mkitoka nje ni mapinduzi cup tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…