permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kwenda huko na kutoka round ya kwanza hakuna tofauti sana na uliowaacha.Mnashindwa nini na nyie kupuliza mkachukua ubingwa wa tz mkaenda kuwakilisha huku,
Nyie kaeni humu humu tu, mkitoka nje ni mapinduzi cup tu
Kwa ishu ya kitoto kama hii? Acha utani banaaBenson Bana ajiuzulu U Balozi kwa kushindwa kukamilisha hili
Acha ubishi mkuu, hiyo mechi ni dhidi ya zamaleki sio enyimbaBasi acha kuleta Uongo uongo. Waulize Enyimba wenyewe watakwambia, Simba aliwapiga 2 wakafuta mechi dkk ya 75 kisa maji uwanjani. Waulize akina Emmanuel Gabriel na Pawasa watakueleza ule mtafaruku
Benson Bana ajiuzulu U Balozi kwa kushindwa kukamilisha hili
Always be positive.. Sisi ndio Simba tuanaishi kwa Iman na Matumaini ya Mungu mengi..Una uhakika gani utampigoal nyingi usikute refa amehongwa
Ha ha eti hakuna tofauti na mliowaacha sasa hivi simba wako Nigeria yanga wako temeke hadi hapo hujaona tofauti?Kwenda huko na kutoka round ya kwanza hakuna tofauti sana na uliowaacha.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Haikuwa zamaleki mkuuAcha ubishi mkuu, hiyo mechi ni dhidi ya zamaleki sio enyimba
IsmailiaAcha ubishi mkuu, hiyo mechi ni dhidi ya zamaleki sio enyimba
Asante kwa sahihisho mkuuIsmailia
Huo ndo uswahili wa mbongo hakupi sababu ni nini anakuletea lawama tu.Kwanini tunamalizia na neno la kwamba wamekataa kuonesha mechi sababu ya figisu badala ya kutueleza sababu zao za kukataa kuoneshwa mpira live ni zipi? Mazungumzo yalifanyika baina ya pande zote tatu (uongozi wa Simba, Plateau na Azam media) sasa kwanini sababu walizotoa plateau haziwekwi wazi ni zipi badala yake tunaaminishana ni figisu?
Kipindi cha uonyofoaji wa kucha...Nimecheka sana Mkuu wangu hebu nikumbushe kwani nimeshausahau. Napiga Mikwara mingi tu hapa JF mpaka mingine huwa ninaisahau haraka.
Ccm wapo, wataiba ubao wa matangazo.CEO wa Simba SC Barbara (Babra) Gonzalez katika Kurasa zake za Mitandao amesema kuwa wamejitahidi vya kutosha tena kwa Kuhangaika huku na kule ile Mechi ya Simba SC na Plateau United unaochezwa leo Jumapili tarehe 29 Desemba 2020 uonyeshwe Mubashara na Azam TV lakini imeshindikana kwa Umafia na Figisu zinazofanywa na Wenyeji hao. Pia amewaomba Radhi wana Simba pamoja na Wanamichezo wote.
Sasa Mimi kama GENTAMYCINE wala sina Shaka na hili kwani kwa Mipira yetu ya Afrika nililitegemea lakini nina Ombi tu Kwenu Viongozi wa Simba SC na hata wana Simba wote popote pale mlipo kwakuwa Mechi yetu na marudiano nao ni Wiki (Weekend) ijayo naomba niteuliwe Mkuu wa Kamati ya UMAFIA,UKATILI NA ROHO MBAYA Maalum kwa Kuwanyoosha na Kuwalipizia Kisasi hawa Wanaijeria (Plateau United ) na nina uhakika wa 100% kwa nilichopanga Kuwafanyia wakienda Kwao watatukumbuka Milele.
Kama Mimi na Team yangu tuliweza Kumfanyia Umafia ( Unyangindo ) Mpuuzi Mmoja aliyekuwa ameshajiaminisha kuwa Dar es Salaam na Tanzania yote hii ni yake hadi kujiita Makamu wa Rais Kivuli na Kukosa Kura huko Baharini Dar es Salaam pamoja na kwamba alihonga sana, alitishia Watu na ana Network Kubwa hadi System ndiyo nitawashindwa hawa Matapeli FC Plateau United?
Na ole wake nione Mtu wa kutoka Serikali ( Wizarani ) au ndani ya Simba SC anasema tusiwalipizie Kisasi nitakufa na Wewe. Nimekereka nao sana.
Please stop being an Idiot.Ccm wapo, wataiba ubao wa matangazo.